Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,388
- 7,223
How...siyo rahisi kuna jamaa yangu aliingiaga huo mtego, alichukua manzi pale Samaki Samaki, manzi akajifanya anaroom yake Survey, so wakakubaliana walipane 50k.
Basi wakatoka hapo kwenda room ya manzi. Kufika room wakaanza saula, kabla hawajaanza manzi akasema nipe laki yangu kabisa. Jamaa pombe ikakata, ameshangaa bei imepanda ghafla. Manzi akakomaa nipe laki yangu kabisa kabla hatujaanza. Jamaa hapo akaanza kubisha inakuaje amepandishiwa bei, manzi akasema ukiendelea kuleta ubishi nakupigia kelele za mwizi au umenibaka. Jamaa akaendelea kuleta utata, kumbe wale mamanzi wanapokuwa wanatoka kuna boda huwa wanawafuata kwa nyuma so haikupita daka tano tayari jamaa akawa ameshajaziwa nzi, demu akabadilisha mada kwamba jamaa amemla hataki kumlipa. Basi likawa zogo pale. Jamaa ili kuepusha dhahama maana majirani wa vyumba vingine walishaanza kutoka (huenda nao ni wapangaji kama yule manzi) na wale vijana wa boda walishaanza kumsachi ikabdi tu alipe ili aondoke pale. Basi ndo siku ikawa imaeisha hivyo.