Hakuna kitu kigumu kwenye kuoa kama kupata mke mweusi kwenye zama hizi

Ila kusema kweli idadi ya wanawake weusi inazidi kupungua,,,nafikiri pia inachangiwa na wanaume wengi kupenda kuoa wanawake weupe na hivyo kuwafanya mabinti wabadili rangi wakiamini wataongeza mvuto

Binafsi napenda mwanamke mweusi japo mimi ni zile rangi wanaita "maji ya kunde"na nashukuru nilibahatika kuoa kitu natural black,,wife nae anapenda sana rangi yangu

Sasa akawa anatamani tukipata baby achukue rangi yangu,at the same time mi napenda mtoto achukue rangi ya Mama yake,,kilichokea sasa chalii sura ka-copy ya kwangu ila rangi ka-copy kwa Mama,,kwenye mchezo wa soka tunasema mtu kapigwa tatu bila
 
Nikitaka kuupata si naenda dukani kuununua tu. Kwani sh:ngapi???
 
Mkuu huu uzi umeandika wakati upo Uingereza au Tanzania yetu hii

au weusi umemaanisha mambo yetu yalee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…