DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Rihanna wa jfWatu wanajua kwenda na upepo!! Leo kila mtu mweusi, basi mie ndo dada mkuu wa weusi!!
Hata wwe mweusi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rihanna wa jfWatu wanajua kwenda na upepo!! Leo kila mtu mweusi, basi mie ndo dada mkuu wa weusi!!
Jamaa anataka mwanamke wa kuwowa sio hao ma baa meid waliofumuliwa tigogeita ya wapi, mana hapa naona wamejaa wa singida tuuu,, usborn,, classic,, desire,, ???
[emoji16]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] eti mbagala rangi tatu.Hahaaa. Ndio tabu ya kuchelewa chelewa hiyo.
Kilichobaki pambaneni na hao hao kina Mbagala Rangi tatu. Teh.
Umeolewa?? [emoji23]Mbona me mweusi. Na weupe siutamani hata chembe na weusi najivunia, im african beautiful
Umeolewa?? [emoji23]
Itafute ipo humu humuWeka picha...
Mtu wa nn???Ok , vizuri , huna mtu dear?
YeahUnaweza ukawa mweusi lakini ukawa tayari ushamilikiwa kwingine, ugumu ndio uko hapo, au wewe unasifa zote mbili, black and single?
hahahaa mbagala Rangi 3Hahaaa. Ndio tabu ya kuchelewa chelewa hiyo.
Kilichobaki pambaneni na hao hao kina Mbagala Rangi tatu. Teh.
hahahaaNi wa wapi huyu mamake
[emoji3] [emoji3] [emoji3] eti mbagala rangi tatu.
Ndio sababu unakuta uso, mikono na hata miguu kila kimoja kina rangi yake. Yaani walio wengi hawana rangi moja.. Hahaaaaa.hahahaa mbagala Rangi 3