ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kuna vijana mimi nimeshuhudia walikuwa watukutu sana wakilewa 24 hours wakaacha uhuni ghafla baada ya kuanza kusikiliza Aya za Quran yaani ina njia fulani hivi sahihi sahihi sana walioandika Quran na biblia ni watu wa Mungu waongofu... Hahaha me mkristo ila Quran naona na yenyewe ya kisomi sana imebobea yaani ukitaka ukii download ile halafu ukapiga na ma meditation na ma semen tentation lazima utanufaika tu.