Hakuna kitu kinanipa utulivu kama Quran

Hakuna kitu kinanipa utulivu kama Quran

Na hapo ndiyo utajiuliza mbona hazitumiki lugha zingine kama kichina.
Kwa hivyo vile viungo vya albino padre anavyotumia vinaandikwa maneno ya kiarabu? Unatia aibu enzi hizi za utandawazi unaendelea kumeza ujinga wa tangu enzi za Nyerere.
Kaangalia movie ya Brian Deacon utaona mapepo yaliyompanda yule mtu yalikuwa yanaongea lugha ipi.
 
Tayari umeingiwa na mapepo soon utapagawa, umeanza kupenda hiyo kitu?
Likitabu la Bibilia ni ngano za kale, yaani hadithi za kusadikika, wazungu waliita ni fictitious novel
Unaanzaje kusali kutumia hadithi kina yohana na paulo sijui mathayo, ndio maana wayahudi wanazichoma moto kwa kijinasabisha na Torati yao.
 
Kuna vijana mimi nimeshuhudia walikuwa watukutu sana wakilewa 24 hours wakaacha uhuni ghafla baada ya kuanza kusikiliza Aya za Quran yaani ina njia fulani hivi sahihi sahihi sana walioandika Quran na biblia ni watu wa Mungu waongofu... Hahaha me mkristo ila Quran naona na yenyewe ya kisomi sana imebobea yaani ukitaka ukii download ile halafu ukapiga na ma meditation na ma semen tentation lazima utanufaika tu.
Nilijua ni mimi pekee yangu
 
We mzinzi tu tangu muahidiwe mabikira 72 mbingini umekazana kusoma kuran
 
Likitabu la Bibilia ni ngano za kale, yaani hadithi za kusadikika, wazungu waliita ni fictitious novel
Unaanzaje kusali kutumia hadithi kina yohana na paulo sijui mathayo, ndio maana wayahudi wanazichoma moto kwa kijinasabisha na Torati yao.
mpuuzi wewe, nyani usiyeona kundule. Unaponda biblia wakati quran ni abrakadabra tupu, bora biblia inasomwa kifalsafa na wengi. Unatoa povu jingi kana kwamba unajua vema vitabu hivyo
 
Samahani mkuu,kuna kipindi kipo Radio Imani FM kinatangazwa na Mzee mmoja anaitwa Baba Kiruwasha(sijui ntakuwa nimekosea jina)kinaitwa Familia huwa kinaanza saa 4 usiku ,baada ya kumaliza kipindi kuna sura 1 hivi huwa inasomwa,sasa siku hiyo na-tune radio kuna station nilikuwa naitafuta nilisimama kidogo baada kuisikia hiyo sura,ni ndefu kidogo ila nikiisikia kuna feelings flani najisikia ingawa sijui kinachoongelewa mule ni nini..Naomba unijuze inaitwaje hiyo sura
 
Back
Top Bottom