Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Ukisoma Qur an kwa kuifuata ukaachana na ushabiki basi moyo unatulia sana ka kridhika ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda si mrefu utakuwa muislamuKuna vijana mimi nimeshuhudia walikuwa watukutu sana wakilewa 24 hours wakaacha uhuni ghafla baada ya kuanza kusikiliza Aya za Quran yaani ina njia fulani hivi sahihi sahihi sana walioandika Quran na biblia ni watu wa Mungu waongofu... Hahaha me mkristo ila Quran naona na yenyewe ya kisomi sana imebobea yaani ukitaka ukii download ile halafu ukapiga na ma meditation na ma semen tentation lazima utanufaika tu.
We punguwani kwelii, Nani alikwambia uislamu Ni Mila za kiarabu.Eti ww mkristo,toka lini ngozi nyeusi ikawa na imani ya kikrsito na kiislam.fateni imani za mababu na mabini zetu achaneni na imani za wenzenu.
Afrika ni lini mtakuwa ba vyenu na kujivunia navyo.
ha ha ha! hasira za mkizi dogoDini lenu la mauaji ya walemavu wa ngozi watu tushalistukia mbwa nyie
Dini yenu yakutoa makafara ya viungo vya binadamuha ha ha! hasira za mkizi dogo
Huweze ona pepo kwa kusoma kuran
Labda tu kumwamini Yesu Kristo na Kubatizwa
Acha kupumbaza watu akili.. Quran imethibitisha torat na injili kama zilivyo mikononi mwetu.. kapingane na Allah kwanza kisha njoo.Mlokole mbuzi acha kukaza fuvu
Bobilia ni mkusanyiko wa hadithi za kutunga ndio maana mnasomeshwa huu upupu ili mumtubukie shimoni mazima
View attachment 3023163
Wakati Quran miongozo ya kuishi binadamu ikiwemo kuishi kishujaa ndani jihad (juhudi)
Kha.. hivi katika uislam Allah kasema Torat na Injil kazishusha yeye sasa unasemaje ni hadith za kutunga wakati Quran nayo kashusha yeye... Fake Muslim wanashangaza kumbe Allah ni mtunga vitabu vya uongo.. probably Allah ni taperi fulani kumbe amayestahili kucharazwa bakora na mbata... kasome Quran dogo huwezi kwepa biblia ila baki na uchizi wako Allah asije kukukosesha mabikira 70 na zaidiMlokole mbuzi acha kukaza fuvu
Bobilia ni mkusanyiko wa hadithi za kutunga ndio maana mnasomeshwa huu upupu ili mumtubukie shimoni mazima
View attachment 3023163
Wakati Quran miongozo ya kuishi binadamu ikiwemo kuishi kishujaa ndani jihad (juhudi)
Lait ungejua wengine huchorachora tu na huwa si QUR ANNa hapo ndiyo utajiuliza mbona hazitumiki lugha zingine kama kichina.