Hakuna kitu kinanipa utulivu kama Quran

Naomba aya yeyote katika Quran ambayo sio stupid.. nimemiss kucheka
 
Bila uongo uislam unakufa kibudu. Uthman alikuwa anatamka aya And Allah anatia kwenye Quran...
Uthman Maalim au ?! Sijakuelewa nyoosha maelezo vizuri upewe darasa
 
Eti ww mkristo,toka lini ngozi nyeusi ikawa na imani ya kikrsito na kiislam.fateni imani za mababu na mabini zetu achaneni na imani za wenzenu.
Afrika ni lini mtakuwa ba vyenu na kujivunia navyo.
Sahv watu wanafanya remix, ni mwendo wa asili mixa bible mixa huko kwa waislam,,,,hii ndo raha ya bongo ,ustaadh au ustaadhat asubuhi anapaka futa la mwamposa halafu huyo anazama msikitini kuswali
 
mpuuzi wewe, nyani usiyeona kundule. Unaponda biblia wakati quran ni abrakadabra tupu, bora biblia inasomwa kifalsafa na wengi. Unatoa povu jingi kana kwamba unajua vema vitabu hivyo
Mlokole mbuzi acha kukaza fuvu
Bobilia ni mkusanyiko wa hadithi za kutunga ndio maana mnasomeshwa huu upupu ili mumtubukie shimoni mazima

Wakati Quran miongozo ya kuishi binadamu ikiwemo kuishi kishujaa ndani jihad (juhudi)
 
Mlokole mbuzi acha kukaza fuvu
Bobilia ni mkusanyiko wa hadithi za kutunga ndio maana mnasomeshwa huu upupu ili mumtubukie shimoni mazima
View attachment 3023163
Wakati Wuran miongozo ya kuishi binadamu ikiwemo kuishi kishujaa ndani jihad (juhudi)
unajua nini kuhusu maandiko ya biblia we mswahilina? Hiyo quran yako ndio upupu mtupu ndio maana hata baadhi ya nchi za kiislam zinaanza kuchana na mafundisho ya quran zimegundua ni uongo mtupu
 
Ndio Mnavyodanganywa hivyo na baba paroko muuza viungo vya albino
Nchi zote za Ulaya zimeachana bibilia nyinyi nyani weusi mnakaza fuvu sasa leo mnaambiwa mara mtifuane
Kesho mtaambiwa muwalale watoto wenu hapo miongozo muitoe wapi
Ni hadhiti za kina Yuda na sijui Zebedayo yaani ni pumba tupu
 
Biblia ndio Neno la Mungu wa kweli
 
nimekuambia usishangae sana upande usiouamini na kuuona kuwa Wazungu wameachana na dini hiyo, kule kwa wazungu giza la kiroho limewakumba. Na wewe mujahidina fahamu hata dini yako inaharibiwa vibaya mno, fuatilia kwa makini utaona na kushangaa nchi za kiislam konk zimeanza kuachana na uislamu msonge, ni umagharibi umetamalaki, anzia hapo saudi arabia nenda uzbekistan, khazakistan, tajikistan, turkemistan, pakistan. Qatar, bahrain na kwingine umagharibi umeingia huko. Ule uislam wa kihafidhina unatoweka, umeingia uislam wa kiliberali halfu we muislam pori unajifanya kuujua uislam kumbe ni mporipori tu usiyejua duni inaelekea wapi
 
QURAN 42:19
Nimemuamini Mungu kupitia aya hii.
Ndio aya ninayoisoma kila siku ,kila nikipata muda
 
Unaposoma kifungu kisemacho kuwa, mtume alimsilimisha shetani, unaelewaje ewe ndege JOHN?
 
Nami ni mmoja wapo katika hilo, nikisoma quraan napata utulivu wa nafsi.
 
Allah akuongoze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…