DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Tena mademu wa chuo ndio wazuri kweli...wanadanga yika kirahisi kwa kutaka modern lifestyle....uzuri wao threesome nje njeNilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu.
Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu.
Yaani mwanume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic)
Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa kuwachezea watoto wa watu na kuwafanya single mothers wapo wachache Mno.
Nimeyatafakari haya Maisha ya mahusiano nimebaki Kupata mshangao Sana.
Ushauri : tulieni na punguzeni tamaa za vitu vidogo ukiona Mtu ana gari acha shobo haimaniishi hiyo gari yake ndo upendo . Hasa hawa mademu wa Chuo ambao asilimia kubwa hawana Akili kichwani.
Ndoa kwa mwanamke ina pambaniwa sio kuipata pata kirahisi, fundisha dada zako jinsi ya kuwalagai wanaume wawaingize kwenye ndoa kwa kutumia akili na mbinu, kuna wanawake wengine mpaka wana roga kuipata hiyo ndoa, wengine wana inunua, wengine wana gharamikia mchakato mzima, hapa Africa huwezi kupata ndoa on a slaverplate........we always marry accidentally.Nilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu .
Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu.
Yaani mwanume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic)
Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa kuwachezea watoto wa watu na kuwafanya single mothers wapo wachache Mno.
Nimeyatafakari haya Maisha ya mahusiano nimebaki Kupata mshangao Sana.
Ushauri : tulieni na punguzeni tamaa za vitu vidogo ukiona Mtu ana gari acha shobo haimaniishi hiyo gari yake ndo upendo . Hasa hawa mademu wa Chuo ambao asilimia kubwa hawana Akili kichwani .
Aliyetoa hela bandia nae kauziwa chrni ya bandia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakati hawajapata mimba si walikuwa wanaona raha kuchuna? Kuna mmoja nipo nae kila nikienda kula tunda naagizwa niende na makorokoro mengi yani hadi dawa ya meno hawawezi kujinunulia... Mahusiano yana mwezi tu na kupika kaacha kabisa
HAO WANAWAKE WANAVUNA WALICHOPANDANilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu.
Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu.
Yaani mwanume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic)
Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa kuwachezea watoto wa watu na kuwafanya single mothers wapo wachache Mno.
Nimeyatafakari haya Maisha ya mahusiano nimebaki Kupata mshangao Sana.
Ushauri : tulieni na punguzeni tamaa za vitu vidogo ukiona Mtu ana gari acha shobo haimaniishi hiyo gari yake ndo upendo . Hasa hawa mademu wa Chuo ambao asilimia kubwa hawana Akili kichwani.
Kwa kweli wadada walizalishwa nyumbani wengi wao hawapo vyema kiuchumi,watoto wao shida zote zinapelekwa kwa Wazazi wa binti na ndugu zake kwa matumizi. Ya watoto.
Kwa kweli Dada zetu hawa ni zaidi ya kero ,starehe zao matatizo unayapata wewe-na lazima tu utamsapport huwezi muacha nduguyo analala na njaa.
Dada zetu punguzeni tamaa,anza maisha na mwanaume yoyote mwenye nia ya kukuoa mali na mengineyo ni majaliwa.