Hakuna kitu kinaniuma Kama ndugu zangu wote kuzalia nyumbani

Sasa wamezalishwa dada zako...
Wewe unakuja kutoa ushauri humu wadada waache tamaa...
Why usiwaite uwape huo ushauri??..

Sometimes maji hufata mkondo...
Je wamama wakubwa wote kwenu waliolewa?? Mama wadogo wote wako kwenye ndoa?

Binti hawezi tulia na kusubiri kuolewa iwapo mama zake wote walizaa bila kuolewa....au Kaka zake wote wanazalisha wadada bila ndoa
Ni wivu tu anao
 
Nilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu. Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu.

Yaani wanaume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari, leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic)

Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa kuwachezea watoto wa watu na kuwafanya single mothers wapo wachache Mno. Nimeyatafakari haya Maisha ya mahusiano nimebaki Kupata mshangao Sana.

Ushauri: tulieni na punguzeni tamaa za vitu vidogo ukiona Mtu ana gari acha shobo haimaniishi hiyo gari yake ndo upendo. Hasa hawa wanawake wa zama hizi ambao hawajausoma huu mchezo vizuri.
sensible advise, but it's too LATE, wamejifungua salama, so far so GOOD!
 
Nilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu. Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu.

Yaani wanaume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari, leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic)

Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa kuwachezea watoto wa watu na kuwafanya single mothers wapo wachache Mno. Nimeyatafakari haya Maisha ya mahusiano nimebaki Kupata mshangao Sana.

Ushauri: tulieni na punguzeni tamaa za vitu vidogo ukiona Mtu ana gari acha shobo haimaniishi hiyo gari yake ndo upendo. Hasa hawa wanawake wa zama hizi ambao hawajausoma huu mchezo vizuri.
Imasikitisha sana lkn nawe umejitasmini kwanza ujazalishs mtoto wa mtu uko kwao
 
Nilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu. Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu.

Yaani wanaume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari, leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic)

Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa kuwachezea watoto wa watu na kuwafanya single mothers wapo wachache Mno. Nimeyatafakari haya Maisha ya mahusiano nimebaki Kupata mshangao Sana.

Ushauri: tulieni na punguzeni tamaa za vitu vidogo ukiona Mtu ana gari acha shobo haimaniishi hiyo gari yake ndo upendo. Hasa hawa wanawake wa zama hizi ambao hawajausoma huu mchezo vizuri.
Wana tako?
 
Inauma na utaanza kuona huyo mdogo wako au mwanao ana umeme mdogo kichwani 😂😂.
Maana wao huwaza ndoa tu, akiahidiwa ndoa ndoa anadungwa mimba, ndoa ndoa anadungwa nyingine.
Baba mtu ndo kataa ndoa pro max anaumia ndani kwa ndani tu.
nanunua gun, atakaye mzoea ana kula chuma man
 
Zinaa ni mbaya, Mjueni mwenyezi Mungu kwanza , ukiwa mzinifu kupata ndoa ni kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom