Hakuna kitu kinaniuma Kama ndugu zangu wote kuzalia nyumbani

Nilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu. Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu.

Yaani wanaume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari, leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic)

Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa kuwachezea watoto wa watu na kuwafanya single mothers wapo wachache Mno. Nimeyatafakari haya Maisha ya mahusiano nimebaki Kupata mshangao Sana.

Ushauri: tulieni na punguzeni tamaa za vitu vidogo ukiona Mtu ana gari acha shobo haimaniishi hiyo gari yake ndo upendo. Hasa hawa wanawake wa zama hizi ambao hawajausoma huu mchezo vizuri.
Umeshajiuliza tabia ya dada zako ikoje?

Lakini pia asili ya familia ikoje?
Ingia kwenye maombi else hiyo kitu itajirudia hata kwa wanao na wajukuu
 
Nilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu. Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu.

Yaani wanaume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari, leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic)

Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa kuwachezea watoto wa watu na kuwafanya single mothers wapo wachache Mno. Nimeyatafakari haya Maisha ya mahusiano nimebaki Kupata mshangao Sana.

Ushauri: tulieni na punguzeni tamaa za vitu vidogo ukiona Mtu ana gari acha shobo haimaniishi hiyo gari yake ndo upendo. Hasa hawa wanawake wa zama hizi ambao hawajausoma huu mchezo vizuri.
Ulitaka wakazalie wapi mkuu 😂😂😂🤣?..
 
Naijua hii shida na huleta masikitiko makubwa sana,sasa imeishatokea muhimu ni kuwasaidia hao dada zako kujenga uchumi wajisimamie maisha yao
 
Oya mimi sio timu kataa ndoa, usinichafulie CV
FB_IMG_17365476955009233.jpg
 
Back
Top Bottom