Hakuna kitu kinaniuma Kama ndugu zangu wote kuzalia nyumbani

Hakuna kitu kinaniuma Kama ndugu zangu wote kuzalia nyumbani

Yani Dada kuzalia nyumbani zaidi ya mmoja ukute na uwezo pia ni mdogoo nyiee Unaweza kuwa mwanaume ila Ukachukia sana wanaume wenzako lakini Msimamo wetu ni ule ule Kataa ndoa[emoji1787][emoji1787]
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
NDOA NI MKATABA WA KITAPELI
 
Mama analea Wajukuu 6 na mama zaoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Saa ingine wazazi inabdi uwe mkalii mnoo yani kauzuu hasaa.. Kama unao watoto wengi wa kikee yule wa kwanza akiharibu unamkaziaa asepe aende kwa mwanaume aliempa uja uzito yani unamfungia Milango kabisa..!!
We Jamaa ni snitch Sana πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
wewe si ndio timu kataa ndoa safi kabisa,dada zako wamekutana na wapuuzi kama wewe. Endelea kuwatuma sigara wapwa zako ,wa kike wakikuakua usiwaache wakawa single mothers huko nje shughulikia mwenyewe ukoo usiende mbali kama unavyowashauri jamaa zako humu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sema kimeumanaa
 
Familia anayotoka mwanamke ina mchango mkubwa sana kumpandisha binti soko la kuolewa.

Tazama mabinti wengi wanaotoka familia zilizoelimika.. ama za uchapakazi.

Hao mabinti kuolewa ni fasta sana labda wakatae wenyewe.

Pia wale mabinti wanaokuwaga best student vyuoni.. nao ofa za ndoa wanazipata fasta tu.

Tazama mabinti wale wafanyakazi wa Big 4 auditing firms pwc, kpmg, delloitte , ama ey uone kwa nini wanaolewa fasta. Na wana ofa za ndoa kibao.. sababu kuu ni brain factor
Kikubwa mwanamke lazma awe na special factors. Kama ni mrembo basi pia awe mpole na mtulivu sio chakaramu.
 
Nilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu. Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu.

Yaani wanaume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari, leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic)

Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa kuwachezea watoto wa watu na kuwafanya single mothers wapo wachache Mno. Nimeyatafakari haya Maisha ya mahusiano nimebaki Kupata mshangao Sana.

Ushauri: tulieni na punguzeni tamaa za vitu vidogo ukiona Mtu ana gari acha shobo haimaniishi hiyo gari yake ndo upendo. Hasa hawa wanawake wa zama hizi ambao hawajausoma huu mchezo vizuri.
Katika hao wanaume waongo, na wewe umo?
 
Back
Top Bottom