Hakuna kitu kinanyima raha kama kuzaliwa peke yako

Usiwalaumu sana
Unajua walipitia changamoto gani?
Nilidhani yatima kumbe sio

Ushakua anza kuzaa zaa kwa wingi
 
Mimi nilizaliwa pekee.

Mama yangu aliniacha nikiwa na umri wa miaka miwili pekee.

Ujio wa mdogo wangu ndio ulopelekea kifo chake na nikawakosa wote.(kupitia simulizi baada ya kuwa mtu mzima)

Endelea kupumzika Mama angu MARY.
 
Dah

Mimi nina ndugu ni hovyo kabisa,hana msaada.Bora ningekuwa peke yangu
 
Wa mwisho! Tumezaliwa wawili mimi na dada yangu
Ok, ila hiyo idadi kwa wazazi ambao hawana changamoto yeyote hasa kiafya, sikubaliani nayo.

Idadi nzuri ya watoto ni kuanzia watano
 
Kumbe sipo peke yangu. Nimepata faraja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…