Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Mi mwenyewe mtu akinimention huwa sipatagi notification. Mnatisha watu wanajua Wanaume wenzao
Yaan nisingejipitisha hapa nisingeona
Sasa anatishikaje wajamen mwambie watu tuna jinsia mbili humu asijali
 
Nasubiri FaizaFoxy akuje hapa aseme neno....[emoji12] [emoji12]
 
Acha nitiririke moja kwa moja.
Ni hivi imetokea umeanzisha ukaribu na dem humu JF ukawa unajikomba komba lakini kwa bahati mbaya unaona kama vile hakuchangamkii.
Kibaya zaidi mara paaa unaona dem kamuanzishia mshikaji uzi wa kumpenda hapo ndo utajua kwamba 'Zanzibar ina Rais ila Tanganyika haina na yote ni Tanzania'.

Kwa hiyo dada zangu nawaomba humu, ukiniona mimi najipendekeza kwako kubali japo kwa kunidanganya ili upate nafasi ya kunichuna.
Naona kuna watu hajanielewa, ni hivi kwa mfano unampenda Demiss halafu unamkuta kaanzisha uzi wa Mr Tunguli moyo wako unajisikiaje?
Na ndio maana unakuta mtu anaandamwa na ma I'd mapya mapya kila siku, kumbe kisa kupendwa. Niwatakie mfungo mwema kwa wale wafungao.
Mkuu humu kuna madume jike, unakuta mwanaume ana ID ya/za kike. Njoo PM nikupe list [emoji38]
 
Back
Top Bottom