Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Kweli akili zako wazijua mwenyewe.
Hebu mcheki Jason statham hapo, unaona mwanaume akiwa na body zuri akivaa tisheti inavyomkaa, basi na g Akivaaa inamkaa Kama hivyo
Sasa anijie mtu kavaa inakuwa Kama tisheti imetundikwa kwenye mti Kwanzaa ntasonyaaaaaaaaaaaaaaa
Screenshot_20180526-113614.jpg
 
Tatizo ni ID na avatar yako.....badilisha ID yako na avatar ivutie kama Daby, Iceman 3D, Mr Miller, tamuuuu na wengineo. Sasa unakuwa na avatar ya vikongwe kama yangu utafatwa na nani zaidi ya kubaki kuita uwapendao mashemeji tu! [emoji144]
Wazee ni hazina ujue, wakongwe huwa wana ujana ndani yao, ushahidi chunguza hao shaibu na ajuza kwa avatar kama hutamwona kijana hensum akimwimbia kwa gitaa mrembo wake[emoji125]
 
Akili yangu ishajiset kuwa mwanaume aliejaa jaa kwa mazoezi anavutia halaf ana nguvu Kama kunibeba hivi, kunilinda, pia nadhani movie zimeniharibu Wale ma sterring huwa wanavutia pia wana miili iliyojaa kwa mazoezi sasa naonaga Wale waadada wanaoigiza nao wanafaidi kweli, hebu angalia movie zote mastar wengi wao wana mvuto ajabu, sasa nami naonaga hata nipate angalau wa kufanana nao .hata nikiwa kitandani nahisi Kama nipo na Dolf au Jason statham

Akili zangu nazijua mwenyewee
Daah kumbe tupo wengi aiseeh wenye kupenda vitu hivyo, iceman wangu mwenyewe naupenda mwili wake balaah kama umeshaona series ya the last ship yule Tom Chandler (Erick Dan) basi copy paste sema yule mzungu huyu muafrika,
Ile miili banah huwa inatufanya tujihisi tupo secured sana aiseeh
 
Back
Top Bottom