Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hebu mcheki Jason statham hapo, unaona mwanaume akiwa na body zuri akivaa tisheti inavyomkaa, basi na g Akivaaa inamkaa Kama hivyoKweli akili zako wazijua mwenyewe.
Sasa anijie mtu kavaa inakuwa Kama tisheti imetundikwa kwenye mti Kwanzaa ntasonyaaaaaaaaaaaaaaa