Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Najua kabisa Siku nikitaja jina lake atafatwa pm, sasa watakutana na kufuli hahahaAbiria chunga mzigo wako
Mi mwenyewe mtu akinimention huwa sipatagi notification. Mnatisha watu wanajua Wanaume wenzaoMbona sipati notification? Anadhani wote madume ama
Yaan nisingejipitisha hapa nisingeonaMi mwenyewe mtu akinimention huwa sipatagi notification. Mnatisha watu wanajua Wanaume wenzao
AhahahaaaaaaNajua kabisa Siku nikitaja jina lake atafatwa pm, sasa watakutana na kufuli hahaha
Hahahahaha halaf tabia ya kutumia id moja mmeanza mpaka mnamchanganya kichwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka sana aiseeh
Mtaje tumfuate sio kwa body lileNajua kabisa Siku nikitaja jina lake atafatwa pm, sasa watakutana na kufuli hahaha
Hahahahaaa.Yaan nisingejipitisha hapa nisingeona
Sasa anatishikaje wajamen mwambie watu tuna jinsia mbili humu asijali
Mkuu humu kuna madume jike, unakuta mwanaume ana ID ya/za kike. Njoo PM nikupe list [emoji38]Acha nitiririke moja kwa moja.
Ni hivi imetokea umeanzisha ukaribu na dem humu JF ukawa unajikomba komba lakini kwa bahati mbaya unaona kama vile hakuchangamkii.
Kibaya zaidi mara paaa unaona dem kamuanzishia mshikaji uzi wa kumpenda hapo ndo utajua kwamba 'Zanzibar ina Rais ila Tanganyika haina na yote ni Tanzania'.
Kwa hiyo dada zangu nawaomba humu, ukiniona mimi najipendekeza kwako kubali japo kwa kunidanganya ili upate nafasi ya kunichuna.
Naona kuna watu hajanielewa, ni hivi kwa mfano unampenda Demiss halafu unamkuta kaanzisha uzi wa Mr Tunguli moyo wako unajisikiaje?
Na ndio maana unakuta mtu anaandamwa na ma I'd mapya mapya kila siku, kumbe kisa kupendwa. Niwatakie mfungo mwema kwa wale wafungao.
Naomba unipe code sehemu nzuri ambopo naweza angalia na mechi kabisa [emoji6][emoji6][emoji6]Nilirudi leo ndo siku yenyewe sasa.
777 leoNaomba unipe code sehemu nzuri ambopo naweza angalia na mechi kabisa [emoji6][emoji6][emoji6]
Naomba na mimi nije.Mkuu humu kuna madume jike, unakuta mwanaume ana ID ya/za kike. Njoo PM nikupe list [emoji38]
Natumaini kukuona hapo .....777 leo
Tutaoana leo mkuu.Natumaini kukuona hapo .....
Kabisa [emoji818][emoji818][emoji818]Tutaoana leo mkuu.
Acha nao mkuu maana mimi najua Mzigua ndo mwanamke wengine wote madume.Mkuu humu kuna madume jike, unakuta mwanaume ana ID ya/za kike. Njoo PM nikupe list [emoji38]