Snowpiercer
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 2,358
- 4,263
Mwanaume haombwi PM! [emoji38]Naomba na mimi nije.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha nao mkuu maana mimi najua Mzigua ndo mwanamke wengine wote madume.
Hahaahaaa!Acha nao mkuu maana mimi najua Mzigua ndo mwanamke wengine wote madume.
Mimi Mzigua nampenda sema ana wengi humu ndicho kinachonishinda.Hahaahaaa!
Cc. Mzigua90
Mzigua eti ananiomba kuja PM, ukute nae ni dume jike [emoji38]Mimi Mzigua nampenda sema ana wengi humu ndicho kinachonishinda.
Kazi kwako ngoja yakukute huko.Mzigua eti ananiomba kuja PM, ukute nae ni dume jike [emoji38]
Baby tumeanza kufanana eeh? Mpaka watu wanajua id moja ati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka sana aiseeh
Eeee acha kujiqouteBaby tumeanza kufanana eeh? Mpaka watu wanajua id moja ati
Jitahid unitoe kwenye PLCMimi Mzigua nampenda sema ana wengi humu ndicho kinachonishinda.
Nakuja kuona hizo id tu mkuuMwanaume haombwi PM! [emoji38]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eeee acha kujiqoute
Nitamtaja siku moja, pm nimeweka kufuli mkimtaka mnaandika hapa hapa wote tunasoma,, navyoyapenda Yale mabody acha tuMtaje tumfuate sio kwa body lile
Kuna id flan hivi Siku hizi sioni nimeikumbuka nikachekaa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Najibebisha niacheni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa huo utakua uchoyo. Mabody yatakutoa rohoNitamtaja siku moja, pm nimeweka kufuli mkimtaka mnaandika hapa hapa wote tunasoma,, navyoyapenda Yale mabody acha tu
Akili yangu ishajiset kuwa mwanaume aliejaa jaa kwa mazoezi anavutia halaf ana nguvu Kama kunibeba hivi, kunilinda, pia nadhani movie zimeniharibu Wale ma sterring huwa wanavutia pia wana miili iliyojaa kwa mazoezi sasa naonaga Wale waadada wanaoigiza nao wanafaidi kweli, hebu angalia movie zote mastar wengi wao wana mvuto ajabu, sasa nami naonaga hata nipate angalau wa kufanana nao .hata nikiwa kitandani nahisi Kama nipo na Dolf au Jason statham[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa huo utakua uchoyo. Mabody yatakutoa roho
Kweli akili zako wazijua mwenyewe.Akili yangu ishajiset kuwa mwanaume aliejaa jaa kwa mazoezi anavutia halaf ana nguvu Kama kunibeba hivi, kunilinda, pia nadhani movie zimeniharibu Wale ma sterring huwa wanavutia pia wana miili iliyojaa kwa mazoezi sasa naonaga Wale waadada wanaoigiza nao wanafaidi kweli, hebu angalia movie zote mastar wengi wao wana mvuto ajabu, sasa nami naonaga hata nipate angalau wa kufanana nao .hata nikiwa kitandani nahisi Kama nipo na Dolf
Akili zangu nazijua mwenyewee
Mzigua nakupenda sema nikutumie shilingi ngapi ukanywee!?Kweli akili zako wazijua mwenyewe.
Aisee...kumbe