[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wambie wambie, baelezeee wanatuharibia uzi sie wenye machungu yetu
Hiyo hazina ya vikongwe wangu unaiona wewe tu, wengine hawaioni. Ndio maana nalia lia hapa kila siku kama mleta sirediWazee ni hazina ujue, wakongwe huwa wana ujana ndani yao, ushahidi chunguza hao shaibu na ajuza kwa avatar kama hutamwona kijana hensum akimwimbia kwa gitaa mrembo wake[emoji125]
Samahani rafiki yangu kumbe umesikia? Sikujua kama utasikia jamani [emoji26][emoji26]Ney hata wewe? Kweli wewe ni wa kunisengenya mcha kweupe?
Ushafahamu hapoAisee mbona mimi sifahamu, ntaamini nikiona siredi tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Teh teh teh teh
Naomba nikubusu kwenye paji la uso huku nikiwa nimemkubatia iceman wangu
Unataka mpandisha pressure mpenzi wangu aanze kuongea kiingereza sasahivi?
Aisee, sawa Boss.Ushafahamu hapo
Sisi mapenzi ya siredi hatutaki
Ndio mimi hapa, ile ilikuwa id yangu ya zamani....unasemaje?[emoji4] [emoji101] [emoji101]Unamjua FaizaFoxy....??
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama utatumia hiyo style baki tu na busu lako[emoji2]
Yaani wewe kwa hiyo avatar yako sahau kubebishwa humu! Waache kubebishwa akina Daby huko ubebishwe wewe na hiyo mipengo....wewe labda ubebishane na mimi mwenye avatar ya vikongwe( japo sired yetu haitapata wa kuisapoti) [emoji53][emoji53][emoji53]Tulisha jiunga huku PM, hapa nasubiri aniandikie tu uzi wa kunibebisha... tehteehhh
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo hazina ya vikongwe wangu unaiona wewe tu, wengine hawaioni. Ndio maana nalia lia hapa kila siku kama mleta siredi
Ngoja nikuandikie shairi hapa moja mubashara kabisa....[emoji39] [emoji39] [emoji39]Ndio mimi hapa, ile ilikuwa id yangu ya zamani....unasemaje?[emoji4] [emoji101] [emoji101]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Ndio mimi hapa, ile ilikuwa id yangu ya zamani....unasemaje?[emoji4] [emoji101] [emoji101]
Nimekusamehe lakini sitakusahau[emoji53]Samahani rafiki yangu kumbe umesikia? Sikujua kama utasikia jamani [emoji26][emoji26]
Najuta kusengenya
Wazee kama mimi ndio huwa tunang'oa vibinti humu Jf. Alafu vikongwe kama wewe mnakamata viben10.... tehteehhhYaani wewe kwa hiyo avatar yako sahau kubebishwa humu! Waache kubebishwa akina Daby huko ubebishwe wewe na hiyo mipengo....wewe labda ubebishane na mimi mwenye avatar ya vikongwe( japo sired yetu haitapata wa kuisapoti) [emoji53][emoji53][emoji53]
Unaweza kunijia na id mpya nikakutolea nje, niache na gundu yangu [emoji53][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Natamani mtu angenirudisha kipindi cha maji ya uvuguvugu.
Bahati mbaya "neno ningelijua huja mwisho wa safari"[emoji40]
Ngoja nifungue I'd mupya, nikuondolee hako kagundu ka kutoonekana[emoji12] [emoji125]
Nalisubiri kwa hamu hapa[emoji39][emoji39][emoji39]Ngoja nikuandikie shairi hapa moja mubashara kabisa....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Inakuhusu sana hii mada dadeki [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Hahah! Aisee
Hiyo avatar yaweza kuwa tatizo pia mkuu. Tafuta nyingine inayoakisi uhalisia wako kidogo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha, we acha tu mkuu maana ninavotamani kukutana na mrembo mmoja humu... Lakini kila siku naona anasababisha moyo wangu unayumba.