Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Tulisha jiunga huku PM, hapa nasubiri aniandikie tu uzi wa kunibebisha... tehteehhh
Yaani wewe kwa hiyo avatar yako sahau kubebishwa humu! Waache kubebishwa akina Daby huko ubebishwe wewe na hiyo mipengo....wewe labda ubebishane na mimi mwenye avatar ya vikongwe( japo sired yetu haitapata wa kuisapoti) [emoji53][emoji53][emoji53]
 
Hiyo hazina ya vikongwe wangu unaiona wewe tu, wengine hawaioni. Ndio maana nalia lia hapa kila siku kama mleta siredi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Natamani mtu angenirudisha kipindi cha maji ya uvuguvugu.
Bahati mbaya "neno ningelijua huja mwisho wa safari"[emoji40]
Ngoja nifungue I'd mupya, nikuondolee hako kagundu ka kutoonekana[emoji12] [emoji125]
 
Yaani wewe kwa hiyo avatar yako sahau kubebishwa humu! Waache kubebishwa akina Daby huko ubebishwe wewe na hiyo mipengo....wewe labda ubebishane na mimi mwenye avatar ya vikongwe( japo sired yetu haitapata wa kuisapoti) [emoji53][emoji53][emoji53]
Wazee kama mimi ndio huwa tunang'oa vibinti humu Jf. Alafu vikongwe kama wewe mnakamata viben10.... tehteehhh
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Natamani mtu angenirudisha kipindi cha maji ya uvuguvugu.
Bahati mbaya "neno ningelijua huja mwisho wa safari"[emoji40]
Ngoja nifungue I'd mupya, nikuondolee hako kagundu ka kutoonekana[emoji12] [emoji125]
Unaweza kunijia na id mpya nikakutolea nje, niache na gundu yangu [emoji53]
 
Back
Top Bottom