Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Maneno kuntu haya, gari bovu huvutwa na nzima.Wazee kama mimi ndio huwa tunang'oa vibinti humu Jf. Alafu vikongwe kama wewe mnakamata viben10.... tehteehhh
Hapana mkuu bora hii maana uhakika ataupata tukionana wasapHiyo avatar yaweza kuwa tatizo pia mkuu. Tafuta nyingine inayoakisi uhalisia wako kidogo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji848][emoji848][emoji848]Ala kumbe!Wazee kama mimi ndio huwa tunang'oa vibinti humu Jf. Alafu vikongwe kama wewe mnakamata viben10.... tehteehhh
Una uhakika? [emoji848][emoji848][emoji848]Kama umekosa mwanamke mtaani huko usitegemee kumpata huku.
[emoji57] [emoji57]Unaweza kunijia na id mpya nikakutolea nje, niache na gundu yangu [emoji53]
Alafu ujua niliposoma huu uzi kwa mara ya kwanza ulikua unakuja kichwani sababu ya kauli zako zinafanana na huu uzi [emoji23][emoji23]Inakuhusu sana hii mada dadeki [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Ngoja na mimi nifate huu ushauri wakoHiyo avatar yaweza kuwa tatizo pia mkuu. Tafuta nyingine inayoakisi uhalisia wako kidogo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ewwwaahhhh.....[emoji39] [emoji39] [emoji39]Maneno kuntu haya, gari bovu huvutwa na nzima.
Kumbe ndo maana hunitaki...wajua mimi ni gari bovu kama wewe![emoji53][emoji53][emoji53]Maneno kuntu haya, gari bovu huvutwa na nzima.
Kama nivi ben10 vya humu, basi jiandae kuanzishiwa na threads kabisaaaa.... tehteehhh[emoji848][emoji848][emoji848]Ala kumbe!
Wacha nianze kukimbizana na viben 10 sasa
Wewe wasema.Kumbe ndo maana hunitaki...wajua mimi ni gari bovu kama wewe![emoji53][emoji53][emoji53]
Hilo ndo hitaji la mtima wangu...Kama nivi ben10 vya humu, basi jiandae kuanzishiwa na threads kabisaaaa.... tehteehhh
Ntahamia kwako soon...Kumbe ndo maana hunitaki...wajua mimi ni gari bovu kama wewe![emoji53][emoji53][emoji53]
Sawa Nleterewa haya nakutambulisha Ney ni mpenzi wangu nampenda sanaAisee, sawa Boss.
wewe sindiyo yule yule fake matunguri?Kumbeee nilkuwa sijui wengine mpaka wanaenda kunisemea kwa Mganga wameshawahi nikula wanazani ataniacha pyeeeee nimebana mpaka penalty
Ni mtazamo tuUna uhakika? [emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Sawa Nleterewa haya nakutambulisha Ney ni mpenzi wangu nampenda sana
Sijaelewa hata ndio nimepata tag yakoMbona sipati notification? Anadhani wote madume ama