Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Inakuhusu sana hii mada dadeki [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Alafu ujua niliposoma huu uzi kwa mara ya kwanza ulikua unakuja kichwani sababu ya kauli zako zinafanana na huu uzi [emoji23][emoji23]
 
Kumbeee nilkuwa sijui wengine mpaka wanaenda kunisemea kwa Mganga wameshawahi nikula wanazani ataniacha pyeeeee nimebana mpaka penalty
wewe sindiyo yule yule fake matunguri?
 
Back
Top Bottom