Eeeh ndo nawaambia sasaKwahiyo mzigua anabishana nao kuwa sisi ni wadada
Mi mwenyewe nikashangaa sanaKhaaaa ili tugundue ninii kwa mfano
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kanichekesha sana
Mwaga ubuyu mwaga mwaga [emoji23][emoji23]Hii michezo imejaa mnoo....kuna wawili ni vinara wa huu mchezo wa kujipigia promo kwa ID tofauti! ( ni mademu na nawajua live)
Haaahaaa...humu kuna vituko
Au mfate pm [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwaga ubuyu mwaga mwaga [emoji23][emoji23]
Naomba basi niwe naweweUnatakiwa kwanza ujiamini hizo mambo unazoanza nazo ni uwoga
Kuna watu wanaweza wakafanya lolote ili wapate attention achana kabisa na ushamba wa social mediaz wakunyumbaSasa huo si ujinga jamani hivi mtu unaanzaje hizo mambo
Naenda ivooAu mfate pm [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu jamani umechelewa mm nimeshawahiwa mm ni mke wa mtu nakuombea tu uje upate mwanamke wa kufanana na wewe akupende kwa kila kituNaomba basi niwe nawewe
Huu ni zaidi ya ushamba unafkiri Max anawalipaKuna watu wanaweza wakafanya lolote ili wapate attention achana kabisa na ushamba wa social mediaz wakunyumba
Na asivyopenda pm witNaenda ivoo
Na mm ni shahidi wako kuwa kweli ulikuwemo humu tangu usiku maana tulikuwa wote ila mi nilizimika mida flaniNasikitika kukuambia nipo humu tokea jana usiku mkuu
hata urafikMkuu jamani umechelewa mm nimeshawahiwa mm ni mke wa mtu nakuombea tu uje upate mwanamke wa kufanana na wewe akupende kwa kila kitu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha nitiririke moja kwa moja.
Ni hivi imetokea umeanzisha ukaribu na dem humu JF ukawa unajikomba komba lakini kwa bahati mbaya unaona kama vile hakuchangamkii.
Kibaya zaidi mara paaa unaona dem kamuanzishia mshikaji uzi wa kumpenda hapo ndo utajua kwamba 'Zanzibar ina Rais ila Tanganyika haina na yote ni Tanzania'.
Kwa hiyo dada zangu nawaomba humu, ukiniona mimi najipendekeza kwako kubali japo kwa kunidanganya ili upate nafasi ya kunichuna.
Naona kuna watu hajanielewa, ni hivi kwa mfano unampenda Demiss halafu unamkuta kaanzisha uzi wa Mr Tunguli moyo wako unajisikiaje?
Na ndio maana unakuta mtu anaandamwa na ma I'd mapya mapya kila siku, kumbe kisa kupendwa. Niwatakie mfungo mwema kwa wale wafungao.
Hao wanaume wanaotumia Id za kike watakuwa na element za Ubwabwa bila shaka.Unapendaje I'd fake?
Kwanza wengine ni wanaume wanatumia I'd za Kike kupata mabwege
Kuna wadau zangu nawahifadhi humu jukwaani ni majanaume shababy,.lakin jf wanatumia I'd za Kike tena ni active!.
Halafu kuna wengine wanajichatisha
I'd moja garl nyingine boy
Hapo atajitongozesha mwenyewe!.
Binafsi ukisema ufatilie/upate ety mwenza Jf hapo umeumia
Kwanza sifa KUU ya member ni KUTOAMINIANA
Urafiki karibu sana uwe na amani zote yaan usijali kabisahata urafik
Hahha upo Rafiki...imebidi nikuchangamkie ili mtoa mada azidi kuumia(kidding)[emoji3]Hahah! Aisee
Mwanaume anayekumili ababahati sanaUrafiki karibu sana uwe na amani zote yaan usijali kabisa
Jamani bahati gani aliyonayo tenaMwanaume anayekumili ababahati sana
am sure ww ndo upo kwenye avatar. I think u mrembo but that are non reasonable characteristics. IJamani bahati gani aliyonayo tena