Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Hii michezo imejaa mnoo....kuna wawili ni vinara wa huu mchezo wa kujipigia promo kwa ID tofauti! ( ni mademu na nawajua live)

Haaahaaa...humu kuna vituko
Mwaga ubuyu mwaga mwaga [emoji23][emoji23]
 
Acha nitiririke moja kwa moja.
Ni hivi imetokea umeanzisha ukaribu na dem humu JF ukawa unajikomba komba lakini kwa bahati mbaya unaona kama vile hakuchangamkii.
Kibaya zaidi mara paaa unaona dem kamuanzishia mshikaji uzi wa kumpenda hapo ndo utajua kwamba 'Zanzibar ina Rais ila Tanganyika haina na yote ni Tanzania'.

Kwa hiyo dada zangu nawaomba humu, ukiniona mimi najipendekeza kwako kubali japo kwa kunidanganya ili upate nafasi ya kunichuna.
Naona kuna watu hajanielewa, ni hivi kwa mfano unampenda Demiss halafu unamkuta kaanzisha uzi wa Mr Tunguli moyo wako unajisikiaje?
Na ndio maana unakuta mtu anaandamwa na ma I'd mapya mapya kila siku, kumbe kisa kupendwa. Niwatakie mfungo mwema kwa wale wafungao.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unapendaje I'd fake?
Kwanza wengine ni wanaume wanatumia I'd za Kike kupata mabwege
Kuna wadau zangu nawahifadhi humu jukwaani ni majanaume shababy,.lakin jf wanatumia I'd za Kike tena ni active!.

Halafu kuna wengine wanajichatisha
I'd moja garl nyingine boy
Hapo atajitongozesha mwenyewe!.

Binafsi ukisema ufatilie/upate ety mwenza Jf hapo umeumia
Kwanza sifa KUU ya member ni KUTOAMINIANA
Hao wanaume wanaotumia Id za kike watakuwa na element za Ubwabwa bila shaka.
 
Back
Top Bottom