Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Mkuu hata humu unaweza.Anza kuwatajataja wale maarufu utaona unavyochangamkiwa siku zijazo.
Hapana humu mpaka uanze tena kazi ya kuomba picha mara namba, lakini fb diret unamuona mtu jinsi alivyo sehemu aliyopo hata kama kajikrim sana lakini picha zingine utamuona kwenye uhalisia wake. Kingine unapata kuwasiliana nae moja kwa moja via messenger na unapata sauti yake kama ni mbaya au nzuri. Lakini pamoja na yote niliwahi kuwatongoza wawili messenger kumbe wanaume wameweka picha za wake zao, walivoona ntakuja kuwasisimua wakaanza kujitambulisha ila mmoja juzi nikamwambia aondoe picha ya shem itakuja kumletea shida kwa sisi vidume. Mmoja kati ya niliowatongoza alikua sijui mzungu mbio mbio kanitumia picha zake aliona hali nibakoelekea siko. Nilibaki kucheka tu. Ushauri na broo kama fb profile kama unaweka ya shem sikushauri.
 
Hahahaha balaaa.Jf ina namna yake et
 
Hahaha, we acha tu mkuu maana ninavotamani kukutana na mrembo mmoja humu... Lakini kila siku naona anasababisha moyo wangu unayumba.
huyo mrembo ni mzee mkuu,achana nae..najua ni yule anayepeleka compliments love mfululizo kwa ASPIRIN,nilikuona unacheza na chaki kwenye nyuzi zake,hahah pole sana mkuu,though watu wengi wa humu wasikuumize kichwa,wapo total different na uyaonapo majina yao...jiamini!
 
Khaa, mkuu mbona huyo mtu simjui??
 
Kumbeee nilkuwa sijui wengine mpaka wanaenda kunisemea kwa Mganga wameshawahi nikula wanazani ataniacha pyeeeee nimebana mpaka penalty
 
Hahaha, we acha tu mkuu maana ninavotamani kukutana na mrembo mmoja humu... Lakini kila siku naona anasababisha moyo wangu unayumba.
Mwambie siku unakutana nayeee na mm nitakuwepo lazima aje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daby hata wewe ungeona hiyo post nauhakika ungeenda kuchungulia kwa profile,kuna watu hawawezi kubadilika anapokuja na id nyingine,aina ya uandishi,mada anazopenda kuchangia pia kama ana bif na mtu akija na id ingine analibeba na kuendeleza mapambano
ulijuaje ndiyo yeye mkuu?
 
Ahaaaaaaaaaaa wapi pambana kaka!.
Kuna wengine wanajichatisha humu .
I'd moja anakuwa garl nyingine anakuwa boy.

Wanaofanya mchezo huo wengi ni washkaji tu. Hawana channel
Kweli kabisaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sitaki we mwenyewe nilikutongoza ukanichunia kabla hamjajuana na broo.
Wewe sema tu unanisema mm au kwa sababu siku ile nilipokeaaa simu yako hukutegemea kama Demiss yuko kifuani kwa mganga
 
Wewe mke wa mganga utakuwa unakula sana kuku,nitumie basi vipapatio
Kumbeee nilkuwa sijui wengine mpaka wanaenda kunisemea kwa Mganga wameshawahi nikula wanazani ataniacha pyeeeee nimebana mpaka penalty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…