Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Shida na raha akianzisha uzi wa kumsifia kidume na wewe anzisha wa kumsifia Sky Eclat babu Asprin atakuelewa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana humu mpaka uanze tena kazi ya kuomba picha mara namba, lakini fb diret unamuona mtu jinsi alivyo sehemu aliyopo hata kama kajikrim sana lakini picha zingine utamuona kwenye uhalisia wake. Kingine unapata kuwasiliana nae moja kwa moja via messenger na unapata sauti yake kama ni mbaya au nzuri. Lakini pamoja na yote niliwahi kuwatongoza wawili messenger kumbe wanaume wameweka picha za wake zao, walivoona ntakuja kuwasisimua wakaanza kujitambulisha ila mmoja juzi nikamwambia aondoe picha ya shem itakuja kumletea shida kwa sisi vidume. Mmoja kati ya niliowatongoza alikua sijui mzungu mbio mbio kanitumia picha zake aliona hali nibakoelekea siko. Nilibaki kucheka tu. Ushauri na broo kama fb profile kama unaweka ya shem sikushauri.Mkuu hata humu unaweza.Anza kuwatajataja wale maarufu utaona unavyochangamkiwa siku zijazo.
Hahahaha balaaa.Jf ina namna yake etHapana humu mpaka uanze tena kazi ya kuomba picha mara namba, lakini fb diret unamuona mtu jinsi alivyo sehemu aliyopo hata kama kajikrim sana lakini picha zingine utamuona kwenye uhalisia wake. Kingine unapata kuwasiliana nae moja kwa moja via messenger na unapata sauti yake kama ni mbaya au nzuri. Lakini pamoja na yote niliwahi kuwatongoza wawili messenger kumbe wanaume wameweka picha za wake zao, walivoona ntakuja kuwasisimua wakaanza kujitambulisha ila mmoja juzi nikamwambia aondoe picha ya shem itakuja kumletea shida kwa sisi vidume. Mmoja kati ya niliowatongoza alikua sijui mzungu mbio mbio kanitumia picha zake aliona hali nibakoelekea siko. Nilibaki kucheka tu. Ushauri na broo kama fb profile kama unaweka ya shem sikushauri.
huyo mrembo ni mzee mkuu,achana nae..najua ni yule anayepeleka compliments love mfululizo kwa ASPIRIN,nilikuona unacheza na chaki kwenye nyuzi zake,hahah pole sana mkuu,though watu wengi wa humu wasikuumize kichwa,wapo total different na uyaonapo majina yao...jiamini!Hahaha, we acha tu mkuu maana ninavotamani kukutana na mrembo mmoja humu... Lakini kila siku naona anasababisha moyo wangu unayumba.
Nawajua vyema humu nikishakutana nao wadada wawili live na swaga tukapiga sana kasoro vitendo vya ngono hatukufanya.Hahahaha balaaa.Jf ina namna yake et
Khaa, mkuu mbona huyo mtu simjui??huyo mrembo ni mzee mkuu,achana nae..najua ni yule anayepeleka compliments love mfululizo kwa ASPIRIN,nilikuona unacheza na chaki kwenye nyuzi zake,hahah pole sana mkuu,though watu wengi wa humu wasikuumize kichwa,wapo total different na uyaonapo majina yao...jiamini!
Hahahyaan boy mzma anakua na id ya kike akitongozwa nae anafurahi
Mwambie siku unakutana nayeee na mm nitakuwepo lazima aje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha, we acha tu mkuu maana ninavotamani kukutana na mrembo mmoja humu... Lakini kila siku naona anasababisha moyo wangu unayumba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah! Aisee
Sitaki we mwenyewe nilikutongoza ukanichunia kabla hamjajuana na broo.Mwambie siku unakutana nayeee na mm nitakuwepo lazima aje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ulijuaje ndiyo yeye mkuu?
[emoji137][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisaaaaAhaaaaaaaaaaa wapi pambana kaka!.
Kuna wengine wanajichatisha humu .
I'd moja anakuwa garl nyingine anakuwa boy.
Wanaofanya mchezo huo wengi ni washkaji tu. Hawana channel
Au sioKupenda ni vzuri, lakini si lazima unaye mpenda na yeye akupende. Hizo ni hisia hazilazimishwi
Mnao fungua nyuzi fungueni tu celebrate mapenzi mubashara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unapendaje I'd fake?
Kwanza wengine ni wanaume wanatumia I'd za Kike kupata mabwege
Kuna wadau zangu nawahifadhi humu jukwaani ni majanaume shababy,.lakin jf wanatumia I'd za Kike tena ni active!.
Halafu kuna wengine wanajichatisha
I'd moja garl nyingine boy
Hapo atajitongozesha mwenyewe!.
Binafsi ukisema ufatilie/upate ety mwenza Jf hapo umeumia
Kwanza sifa KUU ya member ni KUTOAMINIANA
Wewe sema tu unanisema mm au kwa sababu siku ile nilipokeaaa simu yako hukutegemea kama Demiss yuko kifuani kwa mgangaSitaki we mwenyewe nilikutongoza ukanichunia kabla hamjajuana na broo.
Kumbeee nilkuwa sijui wengine mpaka wanaenda kunisemea kwa Mganga wameshawahi nikula wanazani ataniacha pyeeeee nimebana mpaka penalty
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]