Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Ayaaaaaaaaa weeeeeeh
 
Wivu huua wajinga wote unapataje wivu na mtu ambaye humjui

Mambo mengine ni kuyavumilia kiume au kunyamaza ili ufiche uwezo wa kufikiri
Shemela kumbe mwajuana huku ni wakati wa Mimi kukufahamu kama mnajuana sio mbaya

Balaa ni pale kupenda ID na kuanza kujilengesha lengesha kwa mtoto ili akuelewe Mara paaap kumbe dume kama lenzako
 



Tuseme ukweli tu, hivi Shida na raha kwa mapengo kama hayo uliyonayo, mwanamke gani atakukubali?
 
Wakati hata mkono hajakushika. Sema hili ndo eneo la maajabu wallah watu wanaweza wakakuzushia hata tako unatoa wakati hata mbele hutoi.
Wallahi huu uzi unakuhusu maana mie penzi langu limekudondokea afu ninaona kama lako umemkabidhi mwingine
 
Hivi kweli watu tuna shida hata mimi pia unaanzaje kumpenda mtu na id feki humjui mtu tabia yake duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…