carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
NakaziaNa nye sasa tunataka siredi its time
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaNa nye sasa tunataka siredi its time
CatalystNa nye sasa tunataka siredi its time
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mtoa Mada nimekuelewa tuko pamoja ktk hili, habari za kamalondo mkuu
Mkuu ndio umeanza kuandika na kujijibu? Anyway natania tuuMissing you mpenzi
Bado kidogo namaliza tuu narudi tu enjoy life mama
Hapo umenifanyia shambulio la aibu ujue[emoji23]Koh koh koh[emoji26][emoji26]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mkuu ndio umeanza kuandika na kujijibu? Anyway natania tuu
Hapana unanisingizia kwakweli kwa miss natafuta simjui kabisa na Demiss ni shemeji yangu kwasasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Baby we mwenyewe unaruka ruka kama maharage. Mara Miss Natafuta Mara Demiss na now nina roho ivoo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Catalyst
Ngoja niiweke hii akija shoga angu Miss Natafuta aje aoneHapana unanisingizia kwakweli kwa miss natafuta simjui kabisa na Demiss ni shemeji yangu kwasasa.
Good morning dear. Afanyie kazi huu ushauriTatizo ni ID na avatar yako.....badilisha ID yako na avatar ivutie kama Daby, Iceman 3D, Mr Miller, tamuuuu na wengineo. Sasa unakuwa na avatar ya vikongwe kama yangu utafatwa na nani zaidi ya kubaki kuita uwapendao mashemeji tu! [emoji144]
Usipate wivu mpenzi ni chit chat tu nothing seriousIla hata mim nikionaga Mzigua90 anayajenga na mtu kimahaba, kuna kawivu flani hiv amazing kananipitiaga[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Eeeh
Mimi mzee wa assist na wapa watu pasi wafunge
AseeIla hata mim nikionaga Mzigua90 anayajenga na mtu kimahaba, kuna kawivu flani hiv amazing kananipitiaga[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hivi wewe mbebez wako hapa ni nani? Maana hujawahi nitambulisha ujue [emoji23] [emoji23] [emoji23]Koh koh koh[emoji26][emoji26]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi wewe mbebez wako hapa ni nani? Maana hujawahi nitambulisha ujue [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maelezo yako yangekuwa na uzito mkubwa sana kama ungekuwa hutumii id fekiNaona Bado ujaelewa swali langu!
Kwa privacy za Jf SIWEZI kuwataja na itakuwa siyo uanaume!.
Kuna siku nilizungumzia kitu hiki.
Mods walinipa bann then wakafuta Na zile comments!!.
Narudia tena!..asilimia kubwa ya I'd fake za Kike ni majanaume!.
Tena unajua wanatumia mbinu Gani?