Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Unapendaje I'd fake?
Kwanza wengine ni wanaume wanatumia I'd za Kike kupata mabwege
Kuna wadau zangu nawahifadhi humu jukwaani ni majanaume shababy,.lakin jf wanatumia I'd za Kike tena ni active!.

Halafu kuna wengine wanajichatisha
I'd moja garl nyingine boy
Hapo atajitongozesha mwenyewe!.

Binafsi ukisema ufatilie/upate ety mwenza Jf hapo umeumia
Kwanza sifa KUU ya member ni KUTOAMINIANA
Mkuu acha kututisha bwana mbona nilisikia wengine wameoana kabisa humu
 
Wivu ni kidonda mkuu!! Ishi maisha yako, km una damu km yetu we vunga tu, kupendwa utapendwa hata na mama nyumbani inatosha!! Usifosi damu ya waarabu wa kipemba upate kujulikana kwa kilemba hali una damu ya kunguni..

Ni hayo tuu mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dooh kweli we makaveli
 
Tatizo ni ID na avatar yako.....badilisha ID yako na avatar ivutie kama Daby, Iceman 3D, Mr Miller, tamuuuu na wengineo. Sasa unakuwa na avatar ya vikongwe kama yangu utafatwa na nani zaidi ya kubaki kuita uwapendao mashemeji tu! [emoji144]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah!labda anataka wahenga wenzie huwezi jua
 
Mbinu zao ni kama ifuatavyo!.
Huwa wanakuwa active ili kupata attention
Sasa unakuta Wanatengeneza ukaribu Na wanawake wenyewe..ili kupata namba Na mawasiliano!
Asilimia kubwa ya mademu wa Jf wameliwa kwa stahili hiyo.
Unadhan garl mwenzako anaku Pm mnafikishan mpaka kwenye kupeana namba Na kutumiana pics. Hapo ndipo kuna assist!

Hii nyingine SIWEZI itaja maana nitawaumbua
Ila poleni woteeee mnaopata wivu
@Shunie
Sakayo
Raynavero
Dinazarde
Miss Natafuta


Hao nliowataja wote ni wadada members msiwaogope pamoja na kuwa kwao active.

Ila kwa kauli yako ina ukweli pia hasa hawa wadada wanaoingia na kujifanya wanatafuta wachumba wengi ni madume wenzenu kama Giree
 
Back
Top Bottom