Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Team Heineken ama nini. [emoji9][emoji9]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Team Heineken ama nini. [emoji9][emoji9]
Kudanga tutaanza na weweWeka avatar ya mihela na mipesa upate wadangaji dogo
Hapana kwenye Mzigua jipange.
HahahaWeka avatar ya mihela na mipesa upate wadangaji dogo
Kama kawaida white....Team Heineken ama nini. [emoji9][emoji9]
Haujataka kuniona ukitaka ntakutumia.Nakujaje hujanitumia nauli mkuu?
Wewe huwezi kunidanga ni haki yako nikupe, wewe nitembelee kule sitakuita mdangajiKudanga tutaanza na wewe
Teh teh tehMkuu ndio umeanza kuandika na kujijibu? Anyway natania tuu
[emoji3] [emoji3]Teh teh teh
Kwanini mkuu....Hapana kwenye Mzigua jipange.
Ni wawengi na mimi nikiwemo.Kwanini mkuu....
Unapata sana haujataka tu.Hivi ipo siku mm nitapata msichana humu jf hata wa kuchat nae pm..?
Basi huyo huyo anatosha kutuchangamsha wote....Ni wawengi na mimi nikiwemo.
Ms chura natamani ungekuwa unapenda feza ili nikuhonge zile hela za mitandaoni zile!Nipo Mr Mpenda Chura
Haaa! Basi labda tumuulize anampenda nani humu ili tumalize ukata.Basi huyo huyo anatosha kutuchangamsha wote....
Naona mnafarijiana [emoji23][emoji23][emoji23]Mbebezi namtoa wapi bestie?me niko hapa kuangalia watu wanavyodondokeana tu.
Me na wewe tuko sawa tu[emoji23][emoji23][emoji23]