Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ulivyoniwashia moto kwa Cepha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sku nyingine huwa nawasha moto halaf naita watu wengine wazime
[emoji125]
Morning love!Good morning dear. Afanyie kazi huu ushauri
Mkuu acha kututisha bwana mbona nilisikia wengine wameoana kabisa humuUnapendaje I'd fake?
Kwanza wengine ni wanaume wanatumia I'd za Kike kupata mabwege
Kuna wadau zangu nawahifadhi humu jukwaani ni majanaume shababy,.lakin jf wanatumia I'd za Kike tena ni active!.
Halafu kuna wengine wanajichatisha
I'd moja garl nyingine boy
Hapo atajitongozesha mwenyewe!.
Binafsi ukisema ufatilie/upate ety mwenza Jf hapo umeumia
Kwanza sifa KUU ya member ni KUTOAMINIANA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Taja mbinu bob tuwakamate hao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani nimepaliwa ghafla sijui kwaniniHapo umenifanyia shambulio la aibu ujue[emoji23]
Dooh kweli we makaveliWivu ni kidonda mkuu!! Ishi maisha yako, km una damu km yetu we vunga tu, kupendwa utapendwa hata na mama nyumbani inatosha!! Usifosi damu ya waarabu wa kipemba upate kujulikana kwa kilemba hali una damu ya kunguni..
Ni hayo tuu mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo ni ID na avatar yako.....badilisha ID yako na avatar ivutie kama Daby, Iceman 3D, Mr Miller, tamuuuu na wengineo. Sasa unakuwa na avatar ya vikongwe kama yangu utafatwa na nani zaidi ya kubaki kuita uwapendao mashemeji tu! [emoji144]
Sifanyii kazi wewe njoo unione live haya achana nayo.Good morning dear. Afanyie kazi huu ushauri
@ShunieMbinu zao ni kama ifuatavyo!.
Huwa wanakuwa active ili kupata attention
Sasa unakuta Wanatengeneza ukaribu Na wanawake wenyewe..ili kupata namba Na mawasiliano!
Asilimia kubwa ya mademu wa Jf wameliwa kwa stahili hiyo.
Unadhan garl mwenzako anaku Pm mnafikishan mpaka kwenye kupeana namba Na kutumiana pics. Hapo ndipo kuna assist!
Hii nyingine SIWEZI itaja maana nitawaumbua
Ila poleni woteeee mnaopata wivu
Hii kwangu ni raw dataYes my love
[emoji4]
Asanteh wangu asanteh sanaMissing you mpenzi
Bado kidogo namaliza tuu narudi tu enjoy life mama
Mbebezi namtoa wapi bestie?me niko hapa kuangalia watu wanavyodondokeana tu.Hivi wewe mbebez wako hapa ni nani? Maana hujawahi nitambulisha ujue [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakujaje hujanitumia nauli mkuu?Sifanyii kazi wewe njoo unione live haya achana nayo.
Vipi unaumwa kifua?Koh koh koh[emoji26][emoji26]
Nasubiri le sredi mimi,leo najisikia kuwapa pongezi tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sku nyingine huwa nawasha moto halaf naita watu wengine wazime
[emoji125]