hahaha.... mbona wewe ulinikataa?Tatizo ni ID na avatar yako.....badilisha ID yako na avatar ivutie kama Daby, Iceman 3D, Mr Miller, tamuuuu na wengineo. Sasa unakuwa na avatar ya vikongwe kama yangu utafatwa na nani zaidi ya kubaki kuita uwapendao mashemeji tu! [emoji144]
HahahaKama ulivyoniwashia moto kwa Cepha
Sisi tunapendana sana haina haja ya srediNasubiri le sredi mimi,leo najisikia kuwapa pongezi tu
Cc:ney[emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani nimepaliwa ghafla sijui kwanini
Koh koh koh
Hapa najifariji mwenyewe,yeye alishapata wa kumu mpesa japo alimdanganya[emoji23][emoji23][emoji23]sijui waliishia wapiNaona mnafarijiana [emoji23][emoji23][emoji23]
Mfyuuuuu [emoji57]Ndiyo maa[emoji2][emoji2]
Mzima wewe?
Sisi tunapendana sana haina haja ya sredi
Umeanza uchochezi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tukutane central ukahojiwe
Mfyuuuuu [emoji57]
Hicho kifua kimeanza lini muone vile.
Namshukuru Mungu kwakweli, Vipi wewe umeamka salama?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii kwangu ni raw data
Baby ahsante kwa kuwepo kwenye maisha yangu you are a blessingAsanteh wangu asanteh sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nasubiri le sredi mimi,leo najisikia kuwapa pongezi tu
Cc:ney[emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndiyo maa[emoji2][emoji2]
Mzima wewe?
Thank you baby, nakuombea Mungu urudi salama mechoka kukaa home mwenyewe jamani I really missing you lovely.Baby ahsante kwa kuwepo kwenye maisha yangu you are a blessing
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi na wewe nani wa kuhojiwa?
Cole alikiwa anakutafuta eti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha uchochezi huo sired mwisho wa mwaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi hoiiii
Usjali mama ngona tufunge kabsa mizigo hii nikiondoka huku naacha pori jeupe kabsaa.Thank you baby, nakuombea Mungu urudi salama mechoka kukaa home mwenyewe jamani I really missing you lovely.