Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Daah kumbe tupo wengi aiseeh wenye kupenda vitu hivyo, iceman wangu mwenyewe naupenda mwili wake balaah kama umeshaona series ya the last ship yule Tom Chandler (Erick Dan) basi copy paste sema yule mzungu huyu muafrika,
Ile miili banah huwa inatufanya tujihisi tupo secured sana aiseeh
Am proud of you my girl!
 
Mfyuuuuu [emoji57]
Hicho kifua kimeanza lini muone vile.

Namshukuru Mungu kwakweli, Vipi wewe umeamka salama?
Yaani ney badala ya kunipa pole unaniambia mfyuu[emoji23][emoji23][emoji23]

Nashukuru nimeamka salama kabisa[emoji120][emoji120][emoji120]
Hii tabia ya kiume ya kusonyana wakati mnapendana mmeianza lini?[emoji848]
 
Kuna id humu huwa inanitaja kila kona yaan uzi hata haunihusu nishatajwa kwa siku naweza tajwa hata Mara kumi unakuwa unaona anataka ukaribu na umpe attention yako tu
Hahahaha na usipo mpa chamoto utakiona
 
Itabidi tu nikuunganishe nae maana sio kwa kumpenda huko[emoji23][emoji23][emoji23]
Tulisha jiunga huku PM, hapa nasubiri aniandikie tu uzi wa kunibebisha... tehteehhh
 
Hahahaha nilijua tu utajifanya hujaelewa swali[emoji23]
Hivi ukimmithii mtu si unaambatanisha na busu, mbona silioni[emoji40] (huyo 3D asisome hapa tafadhali)
Teh teh teh teh
Naomba nikubusu kwenye paji la uso huku nikiwa nimemkubatia iceman wangu
Unataka mpandisha pressure mpenzi wangu aanze kuongea kiingereza sasahivi?
 
Back
Top Bottom