Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

am sure ww ndo upo kwenye avatar. I think u mrembo but that are non reasonable characteristics. I
napenda u Charming wako na u Friend wako tu
Asante mkuu jamani mm sio huyo kwa avatar niliiokota tu huko kwenye mapicha ya watu nikaipenda mm mweusi kibonge
 
Tatizo ni ID na avatar yako.....badilisha ID yako na avatar ivutie kama Daby, Iceman 3D, Mr Miller, tamuuuu na wengineo. Sasa unakuwa na avatar ya vikongwe kama yangu utafatwa na nani zaidi ya kubaki kuita uwapendao mashemeji tu! [emoji144]
Mmh![emoji30]
 
Mbinu zao ni kama ifuatavyo!.
Huwa wanakuwa active ili kupata attention
Sasa unakuta Wanatengeneza ukaribu Na wanawake wenyewe..ili kupata namba Na mawasiliano!
Asilimia kubwa ya mademu wa Jf wameliwa kwa stahili hiyo.
Unadhan garl mwenzako anaku Pm mnafikishan mpaka kwenye kupeana namba Na kutumiana pics. Hapo ndipo kuna assist!

Hii nyingine SIWEZI itaja maana nitawaumbua
Ila poleni woteeee mnaopata wivu
aiseeeh mkuu ushawaka wangap?[emoji16]
 
Back
Top Bottom