Hakuna kitu kinaumiza kama unaamka Asubuhi na hujui utaenda wapi

Bora mara kumi iwe na hy idea ya kutoka nje hata ili tuu uendane na majirani kuliko kukaa tuu ndani bila ishu yoyote, kumbuka akiwa huko nje anaweza kubahatisha chcht kuliko akiwa ndani tuu
Labda hujaelewa nilikuwa namaanisha nini,huyo expert baada ya kuona majirani wanamletea dharau kwa yeye kutokuwa na mishe ndio akaamua nae awe anatoka asubuhi ili mradi aonekane mpambanaji ili apate heshima

Kwahiyo alijali au kuhofia majirani wata muonaje,hapo ndio nilipokuwa nazungumzia
 
Mkaa bure si sawa na mtembea bure ,haiwezekani deal likukute ukiwa umekaa tu ghetto! Hatari sana hiyo situation.
 
Hawakukosea waliosema adui yako muombee njaa! Hakika hawakukosea kabisa njaa isikie kwa wenzako tu
Tena ukiwa na njaa ndy utajuwa Kila kitu ktk maisha yako,wanao kupenda na wasio kupenda utawajuwa.
Kuanzia mke uliyenae,ndugu.

Ukiwa na njaa hata kama una AFYA mgogoro pia itajulikana.
Njaa inadhalilisha utu wa mtu.
 
🤣 Duh kwahyo ukakimbia kabisa au uliendelea kupiga kazi
Daaah nilimuonea HURUMA sana maana alikuwa anakuja na kiporo ya ugali ikifika MCHANA TU anapiga bila kupasha hata........baada ya kujipata kidg siku Moja nkamkuta njiani ni nikiwa na kaboxer kangu nikampa lifti..... aisee MAISHA ni Safari isiyokuwa na RAMANI......it's very pain when your useless in This life
 
Marufuku kukata tamaa

sijawai kupitia hii hali coz mimi ni mzee wa kazi nyingi, nikiwa low life nitapiga ata kazi za low life na pia mwepesi kujichanganya
 
Wabarikiwe wote wanaopitia Hali kama hiyo, life is tough especially for young peoples. Kama huna mtu wa kukushika mkono siku hizi lazima ukomae sana tena sana, achana na masuala yote wewe focus na pesa pamoja kuwa na nidhamu ya maisha na Imani tu, acha mambo ya mademu, acha show off na takataka za starehe nyingine, ww ni kazi na kurudi kulala, unaperuzi kidogo uwe updated unalala then kazi kazi.

Siku moja nilikwenda Kwa msomali mmoja, yeye anaamka saa sita mchana, hata watoto wake wanaamka saa sita mchana, siwezi kushangaa Kwa sababu ameshatega vyanzo vingi karibu ukanda wote wa pwani ya EA. Komaa sana aisee maana hakuna wa kukusaidia hata mmoja zaidi ya maarifa yako.
 
Wanaamka saa sita mchana je wanalala saa ngapi?

Maana kulala mpaka saa sita si mchezo ujue
 
"Mwisho wa siku hakuna wa kumlaumu"
.................................................................
 
Kutoka kila siku asubuhi na kurudi jioni ni mentality tu ambayo kimtazamo ni kama itakujengea heshima kwa watu wa nje hasa kama unaishi nyumba ya kiswahili ya watu wengi, lakini ukweli tunaujua wenyewe tunaotoka asubuhi na kurudi jioni.

Nilishapitia hii hali sema ni vile
akili ndo ili chaji zaidi kuliko kipindi naamshwa na alarm kwenda kumtumikia mwekezaji. Mimi ni wale watu ambao siwezi kuwa comfortable nikiwa idle bila cha kufanya, hivyo naamini sidhani kama kukosa pa kwenda asubuhi ni kukosa cha kufanya labda inategemea na mtu.
 
Umeongea vitu sahihi ndugu ni mentality kuwa ukitoka mapema unaonekana mpambanaji kumbe unaweza kuamka mapema kuchelewa kurud Hila mambo yasiwe hivyo
 
Aisee ni hatari Sana Hila nahakika ulipita kwenye huo mtihani kama Mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…