Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Labda hujaelewa nilikuwa namaanisha nini,huyo expert baada ya kuona majirani wanamletea dharau kwa yeye kutokuwa na mishe ndio akaamua nae awe anatoka asubuhi ili mradi aonekane mpambanaji ili apate heshimaBora mara kumi iwe na hy idea ya kutoka nje hata ili tuu uendane na majirani kuliko kukaa tuu ndani bila ishu yoyote, kumbuka akiwa huko nje anaweza kubahatisha chcht kuliko akiwa ndani tuu
Kwahiyo alijali au kuhofia majirani wata muonaje,hapo ndio nilipokuwa nazungumzia