Hakuna kitu kinaumiza kama unaamka Asubuhi na hujui utaenda wapi

Hakuna kitu kinaumiza kama unaamka Asubuhi na hujui utaenda wapi

Jaribu kufikiria wale jamaa walikuwa under 🇺🇸 AID, juzi kuna jamaa waliandaliwa kwenda nyanda za juu kusini kupiga kazi, walishaandaa mambo yao, perdiem za kutosha. Mara paap, safari imesitishwa. Ile miradi iliyopo chini ya USAID yote imelala, zile NGO zilizopata kuendesha miradi chini ya marekani...noma na nusu!
Yani life acha tu....
 
Nafikiri kutoka asubuhi na kwenda kuzunguka uwe na au huna kazi sio guarantee kwamba unaingiza kipato cha maana.
Kuna watu hatutoki na hela zinanifuata hapahapa.Hii akili ya kwamba kupata hela lazima utoke alfajiri urudi jioni ni outdated.
Jifunze kuendesha maisha kwa namna ambayo hata ukiumwa ukalala chini hela zitaingia tu
Mambo ya mtaa unakuonaje au unasemaje ni upuuzi huo.Cha msingi kuwa na pesa
Sahihi ila hii system nzuri,shida upweke. Ndiyo pigo zangu ila mpunga chekwaa
 
Mkuu kwenye maisha hasa ukiwa mwanaume usijaribu kusikiliza wala kuwaza jamii itanionaje fanya kila linalo wezekana asee. Neda kijijini kajichimbie miezi yako sita anza hata kwa kulima mchicha hako kasimu uza upate pa kuanzia aseebaada ya mwezi ramani huwa inaanza kusoma na kukuonyesha direction yenyew tu.

Ukienda eneo ambalo hufahamiki sana kwanza usijitangeze wee ni msomi jichnganye na vijana wa rika lako piga kazi yoyote unayoweza na hutojutia.

Shida ya wengi usomi una wa lemeza mkuu.Nakumbuka nilienda nilienda kwa dada mkoa x hadi nilikuwa namtoroka kenda kuuza maji,juice na chocolate stand japo hela kila akiondoka asubhi ananiachia ten ama 20 bado niliona sifai kushinda nyumbani nasubri kupikiwa na kula kuoga na kunya bure hapa.......

Kama kwa sasa una mishe yoyote hongera sana pambana sana mkuu. Nimefurahi
🤝 experience tupu
 
Yaani unaamka halafu hauna mishe zozote au mishe ulikuwa nazo zinegoma aisee inapain sana.

Nilipitia hii hali basi bwana nilipopanga chumba unaona vyumba vya majirani zako Wanaamka Mapema wanaenda mishe kurudi jioni Mimi nipo tu

Hii hali ilinitesa sana kutokuwa na mishe full no respect mtaani yaani unaona kabisa hapa hii kwakuwa sina mishe

Basi bwana, nikaona nisiwe boya nikaanza nami kuamka mapema naoga na vaa vizuri naondoka kumbuka sina kazi yoyote hapo naenda mjini

Naenda zangu mjini kuzurura kumbuka kama hauna mishe jua linachelewa kuzama hatari

Mimepiga hiyo kitu kama miezi mitatu heshima nilipokuwa nakaa ikarejea kidogo, mabinti walikuwa wengi hapo napoishi wakawa wananiambia eeh sikuizi umepata mishe hongera Mimi najibu si unajua tena, kumbe wangejua nazurura tu mjini huko

Nifupishe, katika kuzurura kwangu nikapata Dili hilo Dili ikanipa Hela kidogo hiyo Hela nikaona fursa huko huko mjini nikatembea nayo

Tutoke maghetoni vijana Dunia Haina huruma na mtu asiyekuwa na shughuli ya kumwingizia kipato

Kama ushapitia hali hii pita hapa toa experience yako ilikuwaje

Mungu awapiganie Wote wanaoamka Asubuh halafu sehemu ya kwenda hawana wapate mishe🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Usipojua pa kwenda ni faida zaidi kuliko hssara, sababu usipojua pa kwenda unaweza ukaenda popote.
 
Nakumbuka hiki kipindi nilisota sana mawazo mengi, ila nashukuru Mungu nilikutana na mtu akanipa mchongo nipo nafanya mpaka sasa napambania nipate mtaji nijiajiri, ili niepukane na kadhia kama hizo ikitokea sina kazi tena.
 
umenikumbusha mbal san naeza jifungia ndan kmy ilimrad tu nionekane na mm nimeenda mishe au na mm natoka asbh km wenzangu kwamaan unabaka om na wake za wati n aibu aseh wanaume wenzio wanaend mishe

Alhamdulilah Mungu sio mwantum nikafanikiwaga kaz iliyonileta makaz km mbili kdg saiv najibana hvyo hvyo na familia yang Alhamdulillah nipo hapa na kula sekela kujipongeza na kakimshahara chang
 
Attachments

  • IMG_0202.jpeg
    IMG_0202.jpeg
    597.7 KB · Views: 2
Hongera kwa kujipongeza

Back
Top Bottom