kwaku the traveler
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 218
- 586
- Thread starter
- #81
Pole Sana ndugu Mimi nilikuwa hivyo hivyoAise ndy hali ninayopitia kwasasa najalibu hata kuuza vitu hangalau nipate mtaji hila wapi Ngoma ngumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Sana ndugu Mimi nilikuwa hivyo hivyoAise ndy hali ninayopitia kwasasa najalibu hata kuuza vitu hangalau nipate mtaji hila wapi Ngoma ngumu
🤣🤣 Aisee sawa bhanaUsipojua pa kwenda ni faida zaidi kuliko hssara, sababu usipojua pa kwenda unaweza ukaenda popote.
Naona watu wanachukulia poa Hila haijawakuta hiiHii isikie tu mkuu
Hatari, wewe ujapitia hii et? Hila usiombe hii kituDaaa!
Sio la kuombea kwakweliNaona watu wanachukulia poa Hila haijawakuta hii
Acha kabisaNaona watu wanachukulia poa Hila haijawakuta hii
Naijua hii?Hatari, wewe ujapitia hii et? Hila usiombe hii kitu
Means Usha experience hii kitu?Naijua hii?
😂😂Daaaah siku Moja nikiwa Sina mishe nikaamua kwenda kujitolea kweny ofisi Moja....nkakatuna na mfanyakazi Amefanya KAZI miaka 10 Cha ajabu ananiomba mim nauli Ile Hali Sina hata mia mfukoni.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo Hali uisikie tu kwa mpita njia akihadithia. Tena ina unafuu ukiwa gheto kwako, vuta picha ile unakaa kwa broo halafu shem ni mnoko sana. Anamka asubuhi anakuambia sehemu mi Leo sipiki kwahiyo utamalizia hicho kiporo Cha wali na maharage.
Ukila ukishiba inaomba Mungu isipite hali yoyote ya uchafuz wa hewa maana shemej yako atajua wewe ndo umeharibu Hali ya hewa, na huwez kukata maana wewe ndo umeshindia kiporo Cha wali maharage
kabisa mkuuNaomi mambo
Ukishika sana hela nyingi hata muda wa kula unakua hauna muda hautoshi kwahiyo tumia muda huu kula vizuri
Uzoefu ni mwalimu mzuri sana. Pia maisha ni safari ndefu. Kwenye safari kuna milima, mabonde, tambalale n.kYaani unaamka halafu hauna mishe zozote au mishe ulikuwa nazo zinegoma aisee inapain sana.
Nilipitia hii hali basi bwana nilipopanga chumba unaona vyumba vya majirani zako Wanaamka Mapema wanaenda mishe kurudi jioni Mimi nipo tu
Hii hali ilinitesa sana kutokuwa na mishe full no respect mtaani yaani unaona kabisa hapa hii kwakuwa sina mishe
Basi bwana, nikaona nisiwe boya nikaanza nami kuamka mapema naoga na vaa vizuri naondoka kumbuka sina kazi yoyote hapo naenda mjini
Naenda zangu mjini kuzurura kumbuka kama hauna mishe jua linachelewa kuzama hatari
Mimepiga hiyo kitu kama miezi mitatu heshima nilipokuwa nakaa ikarejea kidogo, mabinti walikuwa wengi hapo napoishi wakawa wananiambia eeh sikuizi umepata mishe hongera Mimi najibu si unajua tena, kumbe wangejua nazurura tu mjini huko
Nifupishe, katika kuzurura kwangu nikapata Dili hilo Dili ikanipa Hela kidogo hiyo Hela nikaona fursa huko huko mjini nikatembea nayo
Tutoke maghetoni vijana Dunia Haina huruma na mtu asiyekuwa na shughuli ya kumwingizia kipato
Kama ushapitia hali hii pita hapa toa experience yako ilikuwaje
Mungu awapiganie Wote wanaoamka Asubuh halafu sehemu ya kwenda hawana wapate mishe🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Nyimbo ni sizo phumelela by conboi cannabino😅Mkuu hii ni mistari ya Ngoma Gani? Na kaimba msanii gn? Naombeni mniatajie maana imenikosha
Hahahha dah aisee kwanini uliamua kufanya hivyoUzoefu ni mwalimu mzuri sana. Pia maisha ni safari ndefu. Kwenye safari kuna milima, mabonde, tambalale n.k
Mimi kuna wakati niliwahi kuwa natembea kwa miguu kutoka Kjitonyama kwa Ali Maua hadi Coco Beach kwenda kushangaa mawimbi ya bahari.
Nilikuwa nafanya hivyo kwa kukosa nauli; na kukaa nyumbani bure kunachosha ile mbaya. Waswahili wanasema, "Mtembea bure sio sawa na mkaa bure".Hahahha dah aisee kwanini uliamua kufanya hivyo
Hapo nimekuelewa, ndio hiyo Mimi nikaamua kwenda kuzurura mjini maana home unakaa watu wanakuchoka mda wote upo mtaani, Hila nikapata mishe mungu mkubwaNilikuwa nafanya hivyo kwa kukosa nauli; na kukaa nyumbani bure kunachosha ile mbaya. Waswahili wanasema, "Mtembea bure sio sawa na mkaa bure".
Ni noma nduguUnakua kama kuku asiye na chakula cha kumlisha