Hakuna kitu kizuri kwa mwanaume kama kuwa na uhuru wa kihisia linapokuja suala la mapenzi

Nitafanya hivyo mkuu japo utafutaji ni mgumu soko linakaba
Nakwmabia mie nimekaa 6yrs famasiala nini, ndio nikaona hiyo chuma, nayo nikaiwekea 2 yrs kuichunguza. Nikaingia nikapigwa cha mbavu.. nikasota mwaka mzima ndio mkeka ukatiki.

Soko la sasa hiv kuna hawa wavuta Shisha na walevi, wavaa uchi na wenye body count kubwa. Mtu early 20s amelala na Wanaume 30.
 
Soko ni gumu kweli kweli ukiingia kizembe unakula za uso mapema kabisa.

Hawa under 28 wana mambo mengi sana, wakishavuka hapo ndio wengi kama hawajaolewa hubadilika.
 
Soko ni gumu kweli kweli ukiingia kizembe unakula za uso mapema kabisa.

Hawa under 28 wana mambo mengi sana, wakishavuka hapo ndio wengi kama hawajaolewa hubadilika.
But her past inabaki kuwa the same.. Mwanamke aliyepitia mikono ya Wanaume wengi hafai. So mie naona ni vyema kudeal na hawa ambao wanakua sio waliokibuhu tyr (Shetani aliyezeeka na kuwa Malaika).

Samaki Mkunje akiwa bado mbichi.
 
Sikupingi hizo sifa.
Ebu nitajie na madhaifu yake mawili matatu.
may be ni gogo kitandani.. au ni ...

Kabla sijasema umeowa Malaika 😁😁😁
 
Hii ni kweli mimi siku hizi nipo hivyo, wanawake hawanisumbui aisee nimewekeza akili kwingine kabisa
 
Sikupingi hizo sifa.
Ebu nitajie na madhaifu yake mawili matatu.
may be ni gogo kitandani.. au ni ...

Kabla sijasema umeowa Malaika 😁😁😁
Sasa kitu ambacho kimenivutia zaidi ni hayo maswala ya 6x6. Mpk nikashangaa haya mambo kayajulia wapi huyu?

Nikajifunza kitu kwamba kuna watu wapole na unaweza wachukulia poa poa kumbe ni moto wa kuotea mbali.

Swala la udhaifu ni WIVU uliopitiliza kwa siku ni simu kila saa, mfn juz nimeongea nae mara 19.
 
Unapumzi kweli wewe?

sio bure, nawasaiwasi na tatizo la pumzi Yako , ambalo linawafanya vijana wengi sasa ivi kuwa waelimisha rika, washauri kumbe bana ni baada ya kuchoka fedheha zinazowakuta kunako 6kwa6.....
Ni hamna kitu, ni vimaji tu kama kuku au upepo tu eti ndio kafika kileleni mlima Kilimanjaro.......

Sawa ndugu mshauri....
 
Upo huru kihisia

Ila umeandika kwa hisia Sana!!

Wewe haupo huru ila unaishi maisha ya liwalo na liwe.

Nipo kwa ajili yako fika post opposite na jengo la RITA upate ushauri nasaha

UNAMATATIZO

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Malaika au Jini sio binadamu huyo. believe me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…