Hakuna kitu kizuri kwa mwanaume kama kuwa na uhuru wa kihisia linapokuja suala la mapenzi

Sapio sexual, Makes two of us. Mwanaume hata awe na nini, kichwani zisipochaji kwa mujibu wa vipimo vyangu 🗑️🚮 Sorry not sorry.

Kichwani kuchaji haihusiani na shule/kwenda shule etc sababu katika hili kuna mengi.

Nilienda kijiji fulani kwa kazi za kijamii, sijui mwenyekiti/mtendaji yule alikuwa very smart, nilimpenda (sio kimapenzi tho) na tulielewana sana.
 
May God bless your “coming “ union.

Back bencher muitikie Hallelujah!
 
shule zetu za kibongo ni uwe na kichwa cha kukalili tu, ubongo wa mbele mkubwa, una memorise

but kuna interagency au kuwa very clever and smart 🔥
 
Labda mimi tu ila kiukweli sijawahi kuwa na imani na mwanamke yeyote yule, I have never taken them seriously.
 
Hapa wasipo kuelewa basi wasubirie kulia na kujinyonga tuu

""" kamwe usiwekeze moyo/hisia zako kwa mwanamke""""
Mnanitisha kishenzi washkaji zangu, mi kuna demu hisia zangu zinampenda sana for months now, nasema ngoja nisimtongoze labda kuna siku hisia zitaisha kama zilivyoisha za aliyepita, nikidhani kuwa ni wenge langu, ila kiukweli hisia za kumpenda ndo zinazidi mpaka naplan nimtongoze. Akili inaniambia nimwache apite hivi, ila moyo(hisia) zinaniambia nimchukue awe wangu na ikiwezekana nimuoe.
 
Aisee, mtazikwa mkijadili wanawake sasa. Maana kuandika tu haya umeonyesha hisia juu yao. Usiwe na hisia kwani wewe unaubongo nusu au umekuwa roboti. Fanya yako, tengeneza maisha yako, jidiscipline njia zako. Wanawake wapo tu, ukiwa nao au usipokuwa nao hufi chamsingi uishi kwaamani na uhuru. Too much discussion about women, kwani mnataka muwe wao au mnataka wauwawe tubaki sisi wenyewe duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…