Hakuna kitu rahisi kama kumtongoza demu mbaya

Hakuna kitu rahisi kama kumtongoza demu mbaya

Kuna warume wanasemaga hakunaga demu mbaya....
Ila kama demu mbaya yupo basi akikutosa utajiona una nuksi bab kubwa
 
Mbona uzi huu unaonesha kama unahasira za kukataliwa na huyo demu
Grow up my dear maneno kama haya yanasemagwa na wanaume wasojiamini,wenye msongo wa mawazo,na wenye matatizo ya ukosefu wa nguvu za kiume akishatongoza mwanamke akamkataa ndo uanza kusema ni mbaya lengo ni kumdhoofisha mwanamke aone kama huyo jamaa anamfanyia hisani kumtongoza
 
images (6).png
 
Hao wabaya uliwaumba wewe ?

Tujifunze kuweka mipaka kwenye maumbile na mambo ambayo tunaowasema nayo hayapo katika uwezo wa kuya control.

Hasa tukishapiga wanzuki baada ya kupokea mshahara.
 
Hakuna kitu rahisi kama kutongoza mwanamke mrembo na mwenye mvuto, wanawake ambao hawana mvuto huwa wamezungukwa na wanaume wanaojiamini sana kwa sababu huwachukulia kawaida.

Wanawake pisi kali wamezungukwa na wanaume ambao hawajiamini na waoga, mimi najiamini sana pale nikiona pisi, kwa sababu najua kabisa ushindani ni mdogo.
 
Mtu kama huyu nae , account yake inapewa permission ya kupost threads.
Any way baba hamfokei house girl.
 
Wewe ni nani adi umhukumu mtu?? ivi Mungu angekua anahukumu hii dunia leo ingekua na mtu..? JARIBU KUKUA BASI..UJAFA UJAUMBIKA
 
Hivi hadi useme flani ni mbaya ama mzuri inabidi huyo mtu aweje? Siyo vizuri hivo ndiyo maana huku mitaani masikhara mengi kumbe inawezekana sababu ni huu ubaya[emoji25]
itakuwa wanaongelea mwanamke wa sifa hizi[emoji116]
[emoji117]anataka mwanamke 8figure,
[emoji117]macho ya mdoli
[emoji117]lips denda
[emoji117]kiuno nyigu
[emoji117]makalio ya kajala
[emoji117]mguu wa bia(zari th bosi)
[emoji117]saut ya kumtoa chatu pangoni( wema sepenga)
[emoji117]kabeby face( lulu maiko)
[emoji117]chuchu sa5;59 approximately= saa6:00
[emoji117]mwenye mwanya, dimpoz,& kidoti
[emoji117]rangi ya mtume( chocolate colour, black beauty)
[emoji117]bikra[emoji28][emoji28][emoji28]( hapa japo sio sana)

mwisho wa yote awe hapendi hela na yuko single[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23].......
 
Dah hapo huyo ni binadamu kweli au malaika🤫 sina hata moja😂 ila sawa tu yote maisha
 
Back
Top Bottom