Hakuna kosa wala dhambi kumkumbuka Magufuli, aliiweza nchi, kwa sasa kuwa na uhakika wa mambo ya kesho, haijulikani

Inaonesha unaandika vitu kwa stress tu, sasa kama yeye alisababisha sukari kupanda bei nani kaizuia isishuke bei au kubakia bei ile ile baadaa ya yeye kufariki? Kwa hiyo wewe ulitaka vitu vibaki bei ile ile toka tumepata uhuru? Unajua bei ya sukari wakati tunapata uhuru ilikuwa shilingi ngapi? Kinachoangaliwa sio vitu kupanda bei mkuu.

Katika uchumi ni lazima vitu vipande bei na vingine vishuke ili kuleta economic balance. Kinachotakiwa kitdhibitiwe ni mfumuko wa bei hiki ndicho kinachoumiza walaji hasa wa chini na kunufaisha wachache.
 
Stress zipi Sasa? Au wewe unaishi Norway? Sukari ilikuwa bei kagi Hadi mnamfukia?

Mwisho kuharibu ni rahisi kuliko kujenga.
 
Tupate viongozi 30 dizaini ya akina Magufuli na Kagame. Tuwape miaka 20 - 30 tu halafu waondoke. Afrika yote itavuvumka. Ndiyo kutakuwa na maumivu lakini pia hakuna maendeleo bila maumivu maana maendeleo hayaji kwa kurembuliana macho na kuchekeleana kwa sauti tamu huku mkifundishana jinsi ya kuangalia urefu wa kamba zenu ili msiingiliane katika ufakamiaji wa raslimali za taifa.

Hata wazungu wenyewe waliendelea wakati wa udikteta wa kifalme na kimalkia. Siamini kama wangeendelea kama wangekuwa na huu upuuzi wa eti demokrasia na kubembelezana.

Afrika inahitaji viongozi dizaini ya akina Magufuli na Kagame kwa sasa halafu kubembeleza kuje huko baada ya maendeleo kuwa yameshapatikana...kama wazungu walivyofanya!

Demokrasia hii isiyo na faida ni mtego tu kwa nchi za Kiafrika! 🚮🚮🚮
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Watu mliokuwa mnabutuliwa na Magu mna hasira nae sana!
Mkuu ni kweli wote walioadhirika na ukatili wa Mwendazake na walipata maumivu makali mno na sio aibu kwao kueleza hisia zao. Wanayo haki sawa na wewe uliyekuwa nafurahia kuumizwa kwao.

Mkuu usitegemee kwa mfano waadhirika wa bomoa bomoa Kimara, tetemeko la kagera, vyeti feki, wapinzani, viongozi wa dini, waandishi wa Habari, wanafunzi wa vyuo vikuu, wastaafu, wafanyabiashara, wafanyakazi, wawekezaji, wavuvi, wafugaji, wakulima na familia za azori, saanane na wa kibiti watafurahi! usione watu wapo kimya watu wanamaumivu makubwa ya ulemavu, kufilisika na kupoteza ndugu zao!
 
Wale wahuni walioleta ngonjera za vyuma vimekaza sasa hivi huwasikii kabisa, wapo busy wanakula kwa urefu wa kamba, amaa kweli Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu
 

👍🆒
 
Ni kichaa tu ama mjinga au mpumbavu ambaye atabishana na wewe. Magufuli was a real hero
 
Kila muwamba ngoma ngozi huvutia kwake,kwetu Chumwi sukari kilo elfu nne,ila tunashukuru mvua inanyesha ya kutosha na mahindi ya kuchoma tayari....
 
Kila muwamba ngoma ngozi huvutia kwake,kwetu Chumwi sukari kilo elfu nne,ila tunashukuru mvua inanyesha ya kutosha na mahindi ya kuchoma tayari....
😂😂😂

Barikiweni hapo njombe mkuu
 
Veti feki..??

Walitakiwa kunyongwa!

Na yeyote mwenye kutaka kuleta mabadiriko ya kweli kwenye hii nchi ya watetea ufisadi, ni lazima auvae umagufuli
 
Alikua na mabaya yake mengi tuu kama walivyo binadamu wengine lakini kwa kinacho endelea sasa hivi Tanzania hatutaacha kumkumbuka kwa mazuri yake mwamba Magufuli
 
Huko kwenye umeme hakuna miujiza yeyote sana sana ni kwamba matumizi ya umeme yalipungua Kwa sababu watu walikimbia na kufunga biashara hivyo grid haikuwa na pressure tofauti na Sasa ambako kila kitu kimefunguka.
Sababu ya namna hii ni ya kijinga tu
 
Stress zipi Sasa? Au wewe unaishi Norway? Sukari ilikuwa bei kagi Hadi mnamfukia?

Mwisho kuharibu ni rahisi kuliko kujenga.
Wakati huyu mamako anaingia ikulu alikuta bei gani na sasa inauzwa bei gani?

Hakuna mtu hopeless kama huyu mamako.

Kila kitu kapandisha, watz sasa hivi wana stress maana daladala tu wanazopanda kujipatia mkate wa kila siku nako nauli ni mkasi!

Yani mtu kaona tozo zote hazitoshi mwishowe akaona awakamue hadi masikini ili wanapojinunulia vi luku vya buku buku nako awe anachukua hela kwa mgongo wa kodi ya jengo!

Mavi matupu.
 
Amewanyoosha.

Mbona huzungumzii hao hao Watanzania walivyoongezewa kipato kutoka na Ajira,Kilimo,kukua biashara,kufutiwa Kodi sumbufu,kupunguziwa gharama za matibabu nk?

Kama maisha ni magumu umewahi sikia kitu gani kimedoda huko mtaani?

Ukiwa hopeless na stressful wewe usidhani ni wote

View: https://www.instagram.com/p/C1_VkVntwGH/?igsh=MWIxOTB3OXA1ZHlyYQ==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…