christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Inaonesha unaandika vitu kwa stress tu, sasa kama yeye alisababisha sukari kupanda bei nani kaizuia isishuke bei au kubakia bei ile ile baadaa ya yeye kufariki? Kwa hiyo wewe ulitaka vitu vibaki bei ile ile toka tumepata uhuru? Unajua bei ya sukari wakati tunapata uhuru ilikuwa shilingi ngapi? Kinachoangaliwa sio vitu kupanda bei mkuu.Aliyesababisha Hadi Sukari kutoa 1500-2000 Hadi 3000-3500 ni Magufuli.
Huko kwenye umeme hakuna miujiza yeyote sana sana ni kwamba matumizi ya umeme yalipungua Kwa sababu watu walikimbia na kufunga biashara hivyo grid haikuwa na pressure tofauti na Sasa ambako kila kitu kimefunguka.
Hakuna wakati wowote Nchi hii Iko pazuri kushinda awamu ya 6,Kumlinganisha mtu aliyepora pesa za wafanyabiashara na Watumishi Kwa sababu ya kufilisika ni kumkosea heshima Samia.
Mwisho hakuna mtu anakukataza kumuwaza Mwendazake,wenzako wanaomtumia kama.kete ya siasa Kwa wajinga wewe unamkumbuka kushinda Muumba wako,hapo ndipo laana itakutafuna.
Katika uchumi ni lazima vitu vipande bei na vingine vishuke ili kuleta economic balance. Kinachotakiwa kitdhibitiwe ni mfumuko wa bei hiki ndicho kinachoumiza walaji hasa wa chini na kunufaisha wachache.