Hakuna kosa wala dhambi kumkumbuka Magufuli, aliiweza nchi, kwa sasa kuwa na uhakika wa mambo ya kesho, haijulikani

Siwaogopi wajinga, ila hii ndio hufanya kuona kuwa, sote tu binadamu, ila mitazamo ni tofati

Wajinga kama wewe, ni fursa sana kwa maccm

Mkuu, umeishia kujenga hoja kwa namna hii?? Sawa mkuu
Unaelewa Kwa nini Watu wajinga na wapumbavu Huwa ni walalamishi Hadi wanakufa?
 
👍🆒
 
Wacha kukufuru.

Uwe "na uhakika wamambo ya kesho" wewe mungu?

Magufuli mwenyewe angekuwa na uhakika wa kesho asingeondoka mbiombio.
 
👍👌🆒
 
Usitumie nguvu sana kujielezea jinsi ulivyo,

Unachochangia ndicho kinakuelezea usahihi wa ulivyo

Nihitimishe hivi, hii account siyo ya huyu ninayejadili naye

Huyu wa sasa ni mjinga!
Mkuu hujamuelewa tu, msome taratibu utang'amua anachosema! Angalia Kauli yako inaweza ikakuvaa vizuri!
 
👍🆒
 
🤣🤣🤣
 
Mkuu ni mengi mno! Jinsi ya kudeal na uongo wa Sukuma gang ni kuweka facts hapa kama ulivyo fanya, maana wanafikiri watu wamesahau!

Kwa kipindi cha miaka mitano 5 cha Mwendazake hii nchi ilirudi nyuma miaka 50!
Ni kweli, tusichoke kuyataja hadi hata wajinga waelewe
 

Ni kweli, tusichoke kuyataja hadi hata wajinga waelewe
👍👌👏🙏🆒
 
Sote twalikumbuka sana lile shetani lenu la Chattle.
Acha sote tulikumbuke kila mmoja kwa namna yake
 
Mafuta ya kula na sukari zilipanda mara tu Magufuli alipoingia madarakani early 2016. Nakumbuka Kuna kikosi kilikuja kwenye duka langu jumla kukagua kama nimeficha sukari. Toka wakati bidhaa hizi zimeendelea kupanda kwa kasi.
 
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
 
Kama mna viwanda vya kutosha huu upungufu Hadi bei inapanda ni wa Nini?
Nchi yetu siyo dampo la kutupiwa kila aina ya taka ili hali tunaviwanda vya sukari vya kutosha
 
Paka mseme...bado hamjasema..

Na tupo na hili tatizo paka 2030.

Kazi iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…