Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Hii nchi ni kubwa sana, unapolia shida ya umeme wengine tulipo hakuna shida kabisa.
Tanesco hawa hawa ndo watoa huduma.
Tanesco hawa hawa ndo watoa huduma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni tu kumlilia.shida yetu ya umeme siku zote imekuwa ni Uhaba wa maji.
Leo hii tunapata mvua nyingi haijawai tokea lakini Umeme unaendelea kuwa Mgao kama kawadia.
Ni aibu sana. Natamani kujuwa wanufaikaji wa aya matatizo
Mfateni hamjakatazwa
Tanesco ni Shirika ambalo asilimia 99 watumishi ni wagalatia, hakuna Cha maana wanachojua zaidi ya wizi tuh na hawana tija Wala ubunifu wowote
Lkn mkuu wao ambae ndio alipaswa kuwaonya hao wagalatia ni wa upande wa kobazTanesco ni Shirika ambalo asilimia 99 watumishi ni wagalatia, hakuna Cha maana wanachojua zaidi ya wizi tuh na hawana tija Wala ubunifu wowote
Ww uko wap !? Dar watu wanalia umeme ,Mwanza ndio kbs ,Dodoma ndio nnapoishi mm shda tupu sasa wameshindwa kuwa na umeme miji hyo ije kuwa Geita sjui Moshi wanazngua wapuuz tuHii nchi ni kubwa sana, unapolia shida ya umeme wengine tulipo hakuna shida kabisa.
Tanesco hawa hawa ndo watoa huduma.
Hata wakati wake umeme ulikuwa unakatika sema watu walikuwa wanakaa kimya tushida yetu ya umeme siku zote imekuwa ni Uhaba wa maji.
Leo hii tunapata mvua nyingi haijawai tokea lakini Umeme unaendelea kuwa Mgao kama kawadia.
Ni aibu sana. Natamani kujuwa wanufaikaji wa aya matatizo
Wee kumbe ni mavie kabisa kwasababu bwawa limejengwa kwenu unata iringa ndo muwe wafaidika wakuu putumbu lako wewBwawa la mtera lipo Iringa, mvua zinapiga daily Iringa, cha ajabu Iringa hainufaiki na hili bwawa, kila siku ni mgao hapa town!
Wagalatia hata aje kiongozi Gani wameshindikanika, mbaya zaidi pesa hizo hizo za wizi zinasubiriwa na mwamposa na kadinali pengo wakatoe sadaka,hovyo kabisa majizi haoLkn mkuu wao ambae ndio alipaswa kuwaonya hao wagalatia ni wa upande wa kobaz
Na wewe umefanya nini?shida yetu ya umeme siku zote imekuwa ni Uhaba wa maji.
Leo hii tunapata mvua nyingi haijawai tokea lakini Umeme unaendelea kuwa Mgao kama kawadia.
Ni aibu sana. Natamani kujuwa wanufaikaji wa aya matatizo
Muulize Makamba jr na Maharage wao wanajua kila kitu !shida yetu ya umeme siku zote imekuwa ni Uhaba wa maji.
Leo hii tunapata mvua nyingi haijawai tokea lakini Umeme unaendelea kuwa Mgao kama kawadia.
Ni aibu sana. Natamani kujuwa wanufaikaji wa aya matatizo
Mpumbavu ktk ubora wako.Aliyesababisha Hadi Sukari kutoa 1500-2000 Hadi 3000-3500 ni Magufuli.
Huko kwenye umeme hakuna miujiza yeyote sana sana ni kwamba matumizi ya umeme yalipungua Kwa sababu watu walikimbia na kufunga biashara hivyo grid haikuwa na pressure tofauti na Sasa ambako kila kitu kimefunguka.
Hakuna wakati wowote Nchi hii Iko pazuri kushinda awamu ya 6,Kumlinganisha mtu aliyepora pesa za wafanyabiashara na Watumishi Kwa sababu ya kufilisika ni kumkosea heshima Samia.
Mwisho hakuna mtu anakukataza kumuwaza Mwendazake,wenzako wanaomtumia kama.kete ya siasa Kwa wajinga wewe unamkumbuka kushinda Muumba wako,hapo ndipo laana itakutafuna.
kutoa sadaka makanisaniMnajitoa ufaham eeh,SI mlikuwa mnalia hapa enzi za jiwe na kusaga meno na kusema sadaka makanisani zimepungua?wezi wakubwa kumbe nyinyi Kisha mnakimbilia kutoa sadaka makanisani
Jamaa ni hamnazo kabisa huyo.Ni wazi wewe ni taahra