Hakuna kosa wala dhambi kumkumbuka Magufuli, aliiweza nchi, kwa sasa kuwa na uhakika wa mambo ya kesho, haijulikani

Hayo yote ndio yanafanya uchumi unakua na Ongezeko ni muhimu Ili kukuza uzalishaji.

Dormant prices don't grow mwisho Ongezeko Hilo ni dogo sana kulinganisha na fursa zilizozalishwa kwenye maelfu ya Ajira,nafuu iliyoletwa Serikali kwenye Elimu,Afya, biashara na uwekezaji.

Ndio maana with those unaita Ongezeko still the economy is growing very fast.It would have been the case if the econy would be stagnant or not producing employments as it was the case awamu ya 5.
Uchumi umekuwa kutoka wapi kwenda wapi na wakati upi??? Tulikuwa uchumi wa chini wa kati, saivi tupo wapi??? Thibitisha huo ukuaji wa uchumi kwa fact.

Ongezeko la tozo limepelekea anguko la biashara ya miamala,

Nishati ya umeme isiyo ya uhakika imepelekea viwanda kutumia mafuta ambayo gharama iko juu na hatimae kuwa na product zenye gharama kubwa ambazo zinepelekea mauzo kushuka.

Gharama kubwa ya mafuta imepekea kuelemea biashara za usafirishaji nchini

Uchumi wa mtu mmoja mmoja umeathiriwa na gharama kubwa za maisha, gharama kubwa za bidhaa, gharama kubwa za nishati, gharama kubwa za usafirishaji.

Uchumi upi unaozungumizia wewe? Umekuzwaje??? Unakuzwa na nani kwa mazingira kama hayo???
 
Mkuu, unasumbuka na mhuni wa lumumba mjinga yule

Ni chawa aliyewekwa kwa maslahi ya maccm
 
Uchumi umekuwa kutoka wapi kwenda wapi na wakati upi??? Tulikuwa uchumi wa chini wa kati, saivi tupo wapi??? Thibitisha huo ukuaji wa uchumi kwa fact.

Ongezeko la tozo limepelekea anguko la biashara ya miamala,

Nishati ya umeme isiyo ya uhakika imepelekea viwanda kutumia mafuta ambayo gharama iko juu na hatimae kuwa na product zenye gharama kubwa ambazo zinepelekea mauzo kushuka.

Gharama kubwa ya mafuta imepekea kuelemea biashara za usafirishaji nchini

Uchumi wa mtu mmoja mmoja umeathiriwa na gharama kubwa za maisha, gharama kubwa za bidhaa, gharama kubwa za nishati, gharama kubwa za usafirishaji.

Uchumi upi unaozungumizia wewe? Umekuzwaje??? Unakuzwa na nani kwa mazingira kama hayo???
Sitaki porojo nyingi sana nakupa namba tuu

View: https://twitter.com/UchumiForum/status/1745025867674439942?t=_wPAvntB3WS8we98OHQEMA&s=19
 
Hahahaha unachekesha, tulikuwa uchumi wa chini wa kati, Saivi tupo wapi???? Mbona swali jepesi sana hili.

Yani mfano timu iliyoshuka daraja ifanye vizuri huko ligi daraja la kwanza useme inafanya vizuri sana, hahahaha
Unadhani atakuwa na jibu?

Akikujibu ni tag
 
Vitisho ndio nini mkuu,

Kiongozi lazima awenazo sura mbili za kiuongozi

Jambo la kwanza ambalo wengi hamlipendi ni Ukali

La pili ni upole!

Sasa kwa tarifa yako ni kwamba, kwa nchi kama tz, kiongozi kuwa mpole ni dhambi kubwa mno, hauwezi kupambana na uovu wa watanzania

Wengi wa Watanzania ni watu wanaopenda kipato kikubwa, kazi ndogo na pengine hakuna kazi

Na ndiyo maana kila ofsi kuna mafisadi na hayana huruma

Unataka uwe mpole ili iwe nini? Labda na wewe uwe mwizi
Wawekezaji Walipoteza Imani na Serikali ya Jiwe Kwa uwekezaji kupungua kutoka Kwa JK kabla ya kurejesha tena Imani Kwa Samia.

Namba ndio zinaongea hayo

View: https://twitter.com/TanzaniaInvest/status/1741549976344236219?t=terMWAbH7_difLBz8QrwxA&s=19
 
Wewe ni mjinga na mbumbumbu ambae huelewi hata maana ya hicho ulichoandika ndio maana unauliza.

Namba zinaongea Wacha porojo

View: https://twitter.com/TanzaniaInvest/status/1745692153165275382?t=vgWnibbB-SlEOWrdvZyo-g&s=19

Unaendelea kudhihirisha tu ulivyo mjinga na usiyetumia hata punje ya akili.

Tanzania ilikuwa uchumi wa chini wa kati, Saivi iko uchumi wa chini, Alafu unaibuka unasema uchumi wetu unakua kwa kasi.

Hapa napoteza muda tu kubishana na mtu anaetumia kiuno kufikiri, subiri wajinga wenzio wanakuja mpeane moyo uchumi unakua kwa kasi.
 
Unaendelea kudhihirisha tu ulivyo mjinga na usiyetumia hata punje ya akili.

Tanzania ilikuwa uchumi wa chini wa kati, Saivi iko uchumi wa chini, Alafu unaibuka unasema uchumi wetu unakua kwa kasi.

Hapa napoteza muda tu kubishana na mbumbumbu, subiri wajinga wenzio wanakuja mpeane moyo uchumi unakua kwa kasi.
Narudia kukwambia wewe sio tuu ni mjinga Bali ni mpumbavu ndio maana unaropoka bila hata kuelewa maana ya the so called Uchumi wa kati kiuchumi.

Mbumbumbu mkubwa wewe,soma namba hapo zinaongea

View: https://twitter.com/TanzaniaInvest/status/1739237585250378018?t=xpSHFXhQVASuFzgnpF6T0w&s=19
 
Fikiria mzazi wa Ben Saanane ua Lissu waone huu uzi, eti kipindi cha Magufuli uhakika wa mambo ya kesho ulijulikana.
 
Wewe umezaliwa baada ya Magufuri kufa??? Mbona uko hai??? Hao wazazi wa Ben mbona wako hai??

Au umeandika huu ujumbe ukiwa kaburini???
 
Umeweka alama nyingi sana za viulizo, hiyo tu ni ushahidi tosha kwamba wewe ni mtu mjinga.
Nimeweka angalau kuishtua akili yako iliyolala usingizi wa pono. Kuitoa akili yako kwenye mihemko na upumbavu ili ufikiri kama binadamu wa kawaida.
 
Jifunze kwanza kanuni za uandishi, ukishajua unitafute tujadiliane. Kwanza maswali yako uliyoweka viulizo vingi yote ni ya kijinga sana.
 
Fikiria mzazi wa Ben Saanane ua Lissu waone huu uzi, eti kipindi cha Magufuli uhakika wa mambo ya kesho ulijulikana.
Hii ni hoja ya kijinga tupu

Unataka kuniambia dreva wa bus anaweza kukwepa watu wawili wanaokatiza barabara ili asababishe ajali ya mamia ya watu?

Hao unaowauliza, kwa kionfozi yeyote, narudia tena, kiongozi yeyote atakayedhamilia kuleta mabadiriko ya kweli, itambidi afyeke wachache hasa waliofungamana na masilahi binafsi
 
Back
Top Bottom