Hakuna kosa wala dhambi kumkumbuka Magufuli, aliiweza nchi, kwa sasa kuwa na uhakika wa mambo ya kesho, haijulikani

Hakuna kosa wala dhambi kumkumbuka Magufuli, aliiweza nchi, kwa sasa kuwa na uhakika wa mambo ya kesho, haijulikani

Siwaogopi wajinga, ila hii ndio hufanya kuona kuwa, sote tu binadamu, ila mitazamo ni tofati

Wajinga kama wewe, ni fursa sana kwa maccm

Mkuu, umeishia kujenga hoja kwa namna hii?? Sawa mkuu
Unaelewa Kwa nini Watu wajinga na wapumbavu Huwa ni walalamishi Hadi wanakufa?
 
Nostalgia euphoric
For glory historic
Is blurring the vision
For future missions with precision
Too many braincells wasted on the death of a Czar, Stalin
No question, that's why we can't get too far, kna'amean?
Petty comparisons between Pwagu and Pwaguzi
There's no choice, but we're still too choosy
Psycho sicko, we're in a pickle
That's why im fickle with my political nickel
The fixation with personalities, exposes our banality
A flock of unthinking sheep
Gives me the creeps
A block of Pavlovian knee jerk stimuli bleeps
Nor data, neither pro rata
Just pure energy of vacuum
Boom
Unstoppable like the expansion of the universe
Too much to rhyme in just one verse
Here comes the brand new flavor in your ear
Dark energy everywhere
Junk food, empty calories
Killing like Mickey and Mallory
No policy in Metropolis, hardly
Academia is dead since Kezilahabi
Smallminded posers, mentally dossers
Flossers, I'm allergic to this dish, not kosher.
👍🆒
 
Ni ujinga kulazimishwa eti tusikumbuke uzuri wa ilivyokuwa awamu ya Magufuli

Ni ujinga kuendelea kutiana moyo kwamba, eti tupo pazuri na tunaelekea pazuri zaidi

hivi, Magufuli alitumia miujiza gani kwenye suala la Umeme na mgao kutokuwepo?

Yeye alifanyeje kumeneji suala la mlipuko wa bei za vyakula mbali na kuwa kwenye janga la Korona dunia nzima?

Alitumia mbinu gani kufanya nishati ya mafuta isipande na nauli kuwa juu, licha kwamba kipindi cha Korona meli nyingi zilipaki?

Sukari nayo imeshindikana sasa kushuka licha ya kuwa na kiwanda cha Bagamoyo sugar na kikubwa kulikoni vyote East Africa, sukari kg 4000 mpaka 4500, kweli???

Tunatafutana nini hapo?

kila mtu anayetokea mikoa ya mbali atakubaliana nami kwamba, kwa sasa suala na safari kutoka mkoa hadi mkoa, ni kama adhabu ya ndogo ya jehanamu

Kutoka kuwa na nauli ya tsh 70,000 kwenda Bukoba hadi 100,000+

Kutoka nauli ya 300 jijini Dar hadi 900 na 1100??

Halafu kuna mpuuzi mmoja anaendelea kusema ni sawa?

Kutoka kuwa na matibabu ziro kwa wajawazito na watoto chini ya umri wa miaka 0 hadi 5, leo ni pesa??

Kutoka kuwa na umeme 27,000 wa REA hadi kutojulikana kama kuna REA au hakuna, maana bei ni ileile 310,000, bado kuna mjinga anaona ni sawa?

Tusikumkumbuke Magufuli kwa sababu ya wajinga wachache aliowatimua kazini?

Kwa sababu tu aliwadhibiti waliokuwa wanajilipa mapesa kupitia watumishi hewa?

Hao ndio watufanye tusisemee mazuri hayo kwa sababu ya matusi yao mitandaoni?

Mnataka tuwasifu kwenye lipi sasa ikiwa kila kitu kimepanda bei?

Watu hawalazimishwi kusifia, wafanyie mambo mazuri wakusifu, kwa sasa tusifu nini na tumsifie nani na kwa lipi?

2025 nayo ile palee, kila kitu kimegoma kurudi mahali pake,, mtatuambia nini wapiga kura sisi?

Tisheti na kanga?

Na bahati mbaya hata makanisani na misikitini huwa mnakwenda kumzuga padri, Asikofu na shekhe ili hali mkijua njia yenu ni ovu kuliko waovu wote, mnasubiri muibe kura 😂 na mjitangaze mmeshinda kwa kishindo!!

Mnakula mema ya nchi mkiendelea kuwahadaa wananchi walala hoi kwamba mnawatengenezea maisha bora? Njia zenyewe ndio hizo za kupandisha gharama kwenye kila bidhaa??

Mungu ilinde Tanzania kwa mkono wako wa chuma!

Uwabariki viongozi wetu waçhache wanaomaanisha kuwatumikia wananchi
Wacha kukufuru.

Uwe "na uhakika wamambo ya kesho" wewe mungu?

Magufuli mwenyewe angekuwa na uhakika wa kesho asingeondoka mbiombio.
 
Natumai Nguvu nyingi zipi? Hali mbaya ipi inayozidi kuwa mbaya?

-Mikopo Bure Kwa wanafunzi Diploma Hadi University
-Elimu Bure Chechea Hadi Form six
-Hali ngumu ila Miji inazidi kupaa Kwa ujenzi
-Hali ngumu ila Ajira zinazidi Kumiminika kuanzia Serikalini Hadi sekta binafsi
-Hali ngumu ila.mapato ya serikali yanazisi.kupaa
-Hali ngumu ila mbolea zote zimekwisha kwenye maghala
-Hali ngumu ila Bar zinazidi kukaa
-Hali ngumu ila Kila siku Barabara zinajaaa magari binafsi Hadi ya biashara
-Hali ngumu ila Utitiri wa miradi Kila kukicha
-Hali ngumu ila uzalishaji wa mazao unazidi kupaa Hadi ziada ya kutosha
-Hali ngumu ila biashara zinazidi kufunguliwa
-Hali ngumu 😂😂😂😂😂😂😂

View: https://www.instagram.com/p/C1_ml36NFTy/?igsh=MWhuemJnazQ4N2p5dQ==

View: https://www.instagram.com/p/C1-QDAttFy3/?igsh=eHNmMHFubzRtNm9k

👍👌🆒
 
Usitumie nguvu sana kujielezea jinsi ulivyo,

Unachochangia ndicho kinakuelezea usahihi wa ulivyo

Nihitimishe hivi, hii account siyo ya huyu ninayejadili naye

Huyu wa sasa ni mjinga!
Mkuu hujamuelewa tu, msome taratibu utang'amua anachosema! Angalia Kauli yako inaweza ikakuvaa vizuri!
 
Umeandika takataka,Uliwahi kuona au kusikia wapi Kagame Kwa mfano anagombana na wafanyabiashara? Kagame ni muumini biashara na ujamaa mbuzi wa Mwendazake.

Hivi huyo Kagame wenu amefanya kipi Cha maana wakati Nchi yake Iko kwenye kundi la Nchi maskini?

Hivi nyie walalamishi wa Bongo mnaweza ishi Rwanda nyie au mnaropka tuu? Unajua kwamba Rwanda ni Moja ya Nchi Zenye mfumuko mkubwa wa bei na maisha ghali? Huwa mnaropoka tuu Kwa kusimuliana ujinga Vijiweni.

Kama maendeleo ni Kujenga reli huko Ethiopia watu si wangekuwa matajiri Sasa? Mbona wanakimbia Nchi Yao na reli zipo?

Mwisho Maendeleo yanaletwa na Kiongozi anaejua watu wake wanakwama wapi na wengi wanafanya nini ndio anaweka Rasilimali huko.Mfano mzuri ni Samia anavyopambana kuwasaidia lundo la maskini walioko kwenye Kilimo waondokane na shida zao.

Mabwawa 100 ya Umwagiliaji yanajengwa Nchi nzima pamoja na scheme,Samia ndio anafanya mambo ya msingi wengine walikuwa wapumbavu wasiojua nini wanafanya.

View: https://www.instagram.com/p/C1_wRl7tBm7/?igsh=MWpyZXdvb3cyZ2Y1ZQ==

Sio huyo Magufuli unaemtaja wewe aliyenunua ndege 13 Kwa Trilioni 3,katikati ya maskini mil.40.Hizo ni akili au matope?

👍🆒
 
Wewe ndiye unatumia nguvu kulazimisha mimi si Kiranga kweli.

Account imekuwa hacked. WTF?

Unalazimisha. Unanifanyia censorship nipost unavyotaka wewe.

Sijawahi kuogopa kupost ninavyotaka kwa kuogopa kuitwa mjinga.

Ni bora nionekane mjinga nibaki na uhuru wa kupost ninachotaka kuliko kuonekana mjanja huku nikiogopa ku post ninachotaka.

Fanya hivi, nipeleke kwenye ignore list kabisa ili usione ujinga wangu tena.

Itatusaidia wote wawili na JF nzima tusione majibizano yasiyo na tija.
🤣🤣🤣
 
Mkuu ni mengi mno! Jinsi ya kudeal na uongo wa Sukuma gang ni kuweka facts hapa kama ulivyo fanya, maana wanafikiri watu wamesahau!

Kwa kipindi cha miaka mitano 5 cha Mwendazake hii nchi ilirudi nyuma miaka 50!
Ni kweli, tusichoke kuyataja hadi hata wajinga waelewe
 
Basi kwa kuwa unalazimisha majibizano nami, na mimi sitaki majibizano nawe, kwa sababu hayana tija, naona unaniletea shombo la kunuka tu, nakupeleka ignore list.

You have lost the privilege to engage me directly.

Kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.

Ni kweli, tusichoke kuyataja hadi hata wajinga waelewe
👍👌👏🙏🆒
 
Ni ujinga kulazimishwa eti tusikumbuke uzuri wa ilivyokuwa awamu ya Magufuli

Ni ujinga kuendelea kutiana moyo kwamba, eti tupo pazuri na tunaelekea pazuri zaidi

hivi, Magufuli alitumia miujiza gani kwenye suala la Umeme na mgao kutokuwepo?

Yeye alifanyeje kumeneji suala la mlipuko wa bei za vyakula mbali na kuwa kwenye janga la Korona dunia nzima?

Alitumia mbinu gani kufanya nishati ya mafuta isipande na nauli kuwa juu, licha kwamba kipindi cha Korona meli nyingi zilipaki?

Sukari nayo imeshindikana sasa kushuka licha ya kuwa na kiwanda cha Bagamoyo sugar na kikubwa kulikoni vyote East Africa, sukari kg 4000 mpaka 4500, kweli???

Tunatafutana nini hapo?

kila mtu anayetokea mikoa ya mbali atakubaliana nami kwamba, kwa sasa suala na safari kutoka mkoa hadi mkoa, ni kama adhabu ya ndogo ya jehanamu

Kutoka kuwa na nauli ya tsh 70,000 kwenda Bukoba hadi 100,000+

Kutoka nauli ya 300 jijini Dar hadi 900 na 1100??

Halafu kuna mpuuzi mmoja anaendelea kusema ni sawa?

Kutoka kuwa na matibabu ziro kwa wajawazito na watoto chini ya umri wa miaka 0 hadi 5, leo ni pesa??

Kutoka kuwa na umeme 27,000 wa REA hadi kutojulikana kama kuna REA au hakuna, maana bei ni ileile 310,000, bado kuna mjinga anaona ni sawa?

Tusikumkumbuke Magufuli kwa sababu ya wajinga wachache aliowatimua kazini?

Kwa sababu tu aliwadhibiti waliokuwa wanajilipa mapesa kupitia watumishi hewa?

Hao ndio watufanye tusisemee mazuri hayo kwa sababu ya matusi yao mitandaoni?

Mnataka tuwasifu kwenye lipi sasa ikiwa kila kitu kimepanda bei?

Watu hawalazimishwi kusifia, wafanyie mambo mazuri wakusifu, kwa sasa tusifu nini na tumsifie nani na kwa lipi?

2025 nayo ile palee, kila kitu kimegoma kurudi mahali pake,, mtatuambia nini wapiga kura sisi?

Tisheti na kanga?

Na bahati mbaya hata makanisani na misikitini huwa mnakwenda kumzuga padri, Asikofu na shekhe ili hali mkijua njia yenu ni ovu kuliko waovu wote, mnasubiri muibe kura [emoji23] na mjitangaze mmeshinda kwa kishindo!!

Mnakula mema ya nchi mkiendelea kuwahadaa wananchi walala hoi kwamba mnawatengenezea maisha bora? Njia zenyewe ndio hizo za kupandisha gharama kwenye kila bidhaa??

Mungu ilinde Tanzania kwa mkono wako wa chuma!

Uwabariki viongozi wetu waçhache wanaomaanisha kuwatumikia wananchi
Sote twalikumbuka sana lile shetani lenu la Chattle.
Acha sote tulikumbuke kila mmoja kwa namna yake
 
As for now miradi inaendelea na mingine Mingi imeanzishwa Kwa nini saruji isiadimike?

Unakumbuka Dangote alitaka kutimkia? Mwendazake hakuna alivhoweza Kila mtu alikuwa mbaya kwake.

Wakitaka kumpora pesa Dangote shenzi zenu.

Mimi huwezi nidanganya awamu ya 5 Nina kumbukumbu vizuri.

Hata Mafuta ya kula yamianza kupanda 2019,Mafuta ya magari Kuna mwaka yaliadimika
Mafuta ya kula na sukari zilipanda mara tu Magufuli alipoingia madarakani early 2016. Nakumbuka Kuna kikosi kilikuja kwenye duka langu jumla kukagua kama nimeficha sukari. Toka wakati bidhaa hizi zimeendelea kupanda kwa kasi.
 
Kwa hiyo saizi hawatekwi? Hao vijana wa vingunguti Waliouawa juzi hapa,Kijana wa mbezi week ilopita kaonekana ameuliwa!
Wale vijana wa Kariakoo wa tano mpaka leo hawajawahi kuonekana, Geita nako watu wamepotea!
Mauaji kila kona ya nchi huyaoni wewe punga?
Mauaji vituo vya polisi na Wagonjwa kupata mateso mahospitalini na kufa kwa uzembe husikii?
Yaani wewe akitekwa mmoja mwanasiasa ndo jambo hatari ila wakitekwa na kuuliwa wananchi wa kawaida sawa tu!
Jinga kabisa!
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
 
Paka mseme...bado hamjasema..

Na tupo na hili tatizo paka 2030.

Kazi iendelee
 
Back
Top Bottom