Hakuna kosa wala dhambi kumkumbuka Magufuli, aliiweza nchi, kwa sasa kuwa na uhakika wa mambo ya kesho, haijulikani

Tanesco ni Shirika ambalo asilimia 99 watumishi ni wagalatia, hakuna Cha maana wanachojua zaidi ya wizi tuh na hawana tija Wala ubunifu wowote
Mbali na wagalatia.
Kuna uongozi kila ukiingia madarakani kuongoza nchi, mambo huwa mabaya.
Wizi, ufisadi, uongo na safari nyingiii! Hivi ni watu wa aina gani wale!!!
Wale ni shida sana!
 
Mama aliwapa eti miezi sita washughulikie tatizo la umeme, serious mbongo unampa miezi 6 si ana relax kabisa

Nakumbuka magu aliwahi kupita na msafara akalalamikiwa kuhusu nida watu wanachelewesha kuandikishwa, akampigia mkurugenzi wa nida akamuamuru apande gari muda huo kwenda huo mkoa kutatua KERO za wananchi.... Hii nchi bila ya kua na kiongozi bandindu hakuna kitakachobadilika
 
Mbali na wagalatia.
Kuna uongozi kila ukiingia madarakani kuongoza nchi, mambo huwa mabaya.
Wizi, ufisadi, uongo na safari nyingiii! Hivi ni watu wa aina gani wale!!!
Wale ni shida sana!

Mnajitoa ufaham eeh,SI mlikuwa mnalia hapa enzi za jiwe na kusaga meno na kusema sadaka makanisani zimepungua?wezi wakubwa kumbe nyinyi Kisha mnakimbilia kutoa sadaka makanisani
 
Hao watu walipata hivyo vitambulisho vya NIDA au zilikuwa kiki za bei rahisi?
 
Tanesco ni Shirika ambalo asilimia 99 watumishi ni wagalatia, hakuna Cha maana wanachojua zaidi ya wizi tuh na hawana tija Wala ubunifu wowote
Kwa taarifa yako kama hujui Hakuna shirika lenye watu ambao upstairs wako vizuri kama Tanesco.. tatizo lipo Kwa wanasiasa wenu wanao taka kuliusa shirika Kwa mabeberu tuu..[emoji23][emoji23][emoji23]🦥🦥🦥
 
Aah wapi, wainjilisti tokea lini wakawa vizuri upstairs??

Labda uzuri kwenye wizi na ufisadi,hakuna la maana wajualo balaa sana
 
shida yetu ya umeme siku zote imekuwa ni Uhaba wa maji.
Leo hii tunapata mvua nyingi haijawai tokea lakini Umeme unaendelea kuwa Mgao kama kawadia.
Ni aibu sana. Natamani kujuwa wanufaikaji wa aya matatizo
Bwawa la mtera lipo Iringa, mvua zinapiga daily Iringa, cha ajabu Iringa hainufaiki na hili bwawa, kila siku ni mgao hapa town!
 
Bwawa la mtera lipo Iringa, mvua zinapiga daily Iringa, cha ajabu Iringa hainufaiki na hili bwawa, kila siku ni mgao hapa town!

Sasa lawama mnampaje Samia??

Badala ya kuwalaumu wainjilisti waliojazana hapo Tanesco
 
Kuandikishwa na kupata vitambulisho ni vitu viwili tofauti, punguza mihemuko
Hakukuwa na tatizo la kuandikishwa, Bali la upatikanaji wa vitambulisho usiye na mihemko.
 
Ila wangefanya vizuri sifa ingekuwa kwa Samia na sio kwa hao wainjilist!
Toka Lin nchi hii mkampa sifa Rais muislam??

Udini umewajaa wagalatia kama ugonjwa wa ukoma,wakiwa waimba kwaya wenzenu basi sifa hata zisizostahali mnatoa
 
Toka Lin nchi hii mkampa sifa Rais muislam??

Udini umewajaa wagalatia kama ugonjwa wa ukoma,wakiwa waimba kwaya wenzenu basi sifa hata zisizostahali mnatoa
Kwa kukusaidia tu, sisi wengine hatuna muda wa kumsifia rais yoyote wa ccm. Awe wa dini yoyote iliyoletwa na majahazi. Ww ndio muumini wa hizo dini. Sisi tumeshatoka kwenye hivyo vifungo vya dini za matapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…