NGOSWE2
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 1,323
- 1,608
Mbali na wagalatia.Tanesco ni Shirika ambalo asilimia 99 watumishi ni wagalatia, hakuna Cha maana wanachojua zaidi ya wizi tuh na hawana tija Wala ubunifu wowote
Kuna uongozi kila ukiingia madarakani kuongoza nchi, mambo huwa mabaya.
Wizi, ufisadi, uongo na safari nyingiii! Hivi ni watu wa aina gani wale!!!
Wale ni shida sana!