kunonu
Member
- Jun 28, 2020
- 88
- 121
Kuna vitu viwili vinatukera sisi Kunonu Teknolojia kwenye jamii yetu ya Kitanzania kwenye matumizi ya teknolojia ya flash kwa matumizi ya nyumbani au ofisini.
Mosi ni kwamba watu wanauziwa 'flash feki' hivyo zinawafia haraka zikiwa na vitu vyao muhimu. Pili, wengi wanauziwa 'flash' kwa bei za juu mno, bei haziendani na thamani ya hizo 'flash'. Utakuta GB 32 inauzwa TZS 25,000 hadi TZS 35,000.
Vitu hivi vinatukera sana sisi, hivyo tunataka watu wasipigwe tena. Tunauza 'flash orijino' za kampuni ya KIOXIA kutoka Japan(Made in Japan) kwa bei ya 'tupate wote' GB 32 tunakupa kwa TZS 18,000 tu. Najua wengine watasema hizo ni 'feki' kwa sababu wamezoea zile za bei ghari, tumeshakutana na visa hivi vingi tu.
Tutafute kwenye mitandao ya kijamii kwa jina la 'kunonutek' au tutafute kwa #0629831936 Wengi waliodaka 'flash' zetu wamekuwa wanafamilia yetu wa kudumu. Tunapatikana Makumbusho, Dar es Salaam.