Hakuna maandalizi yoyote; tunasubiri Elnino itikise tuanze kumsifu Mama!

Attachments

  • 1000125788.jpg
    1000125788.jpg
    224 KB · Views: 10
Ulipotag na kusema sisi tufe ulikuwa unamaanisha nini? Mnacholalamikia CCM ndo mtafanya mara 10 yake.
Sasa kuna haja gani ya kuwachekea wauaji mlioua mamilioni ya watu MO29? Muuaji lazima naye afe.
 
Kwani Chivayo anasemaje kuhusu El nino mana ndo mshika rimoti allegedly
Chivayo aseme nini tena wakati wanyonya damu wapo kimya wanasubiri watu wafe mama yao atoe majeneza wamsifu?
 
Hata wanaotoa tahadhari ya El nino ni sehemu ya timu ya maandalizi.
Huko CDM mmejazana vilaza mnalishana matango pori
Tahadhari ipi mkuu? Kutunga sentensi kwa kutumia neno Elnino sio kinga dhidi ya Elnino mkuu. Hao wanafanya mzaha tu.
 
Huna cha maana unachotaka kijadilliwe endelea na matusi kama facebook
 
Matusi yapi mkuu? Tatizo hampendi kuambiwa ukweli sijui mkoje nyie watu.
 
Hii nchi ya Wagagagigikoko na kusadikika ina mambo ya ovyo sana. Tahadhari ya Elnino imeishatolewa na wataalamu lakini mpaka sasa hakuna mpangomkakati wowote wa kitaifa ulioweka na serikali kudhibiti au kupunguza maafa yatakayotokea. Wahusika wanaendelea tu na ratiba zao kana kwamba hakuna hatari yoyote inayokuja.

Pamoja na kuonywa kuwa Elnino ya mwaka huu itakuwa mbaya kuliko Elnino zote zilizowahi kutokea miaka 70 iliyopita, serikali hii imekaa kimya. Haina mpango wowote wa kuwakinga wananchi wake dhidi ya madhara yanayotarajiwa. Ingekuwa suala la uchaguzi au lenye manufaa kwa watawala, wangekuwa wameishachukua hatua haraka iwezekenavyo. Lakini kwa kuwa wataoangamia ni wananchi maskini wanaoishi mabondeni na kwenye njia za mikondo ya maji na mafuriko, watawala wameamua wafe kwa kuwa kifo ni kifo tu. Tumeshuhudia mwaka jana kabla ya uchaguzi (uchafuzi) yakinunuliwa magari ya pilipili za kuwasha kwa matrilioni ya fedha za walipakodi ili kusaidia kuharibu uchaguzi. Hili liliwezekana kwa sababu lina manufaa kwa watawala. Suala la maandalizi ya kitaifa dhidi ya Elnino halipewi umuhimu wowote kwani haliwagusi vigogo ambao hukaa maeneo ya kishua yenye miundombinu isiyofurika maji.

Machawa wanasubiri elnino ifike waanze kumsifu mama kwa kutoa rambirambi na kugharamia mazishi. Utawasikia wakimsifu na kumpamba: "Mama atatoa pesa kwa ajili ya majeneza na sanda kwa maiti wote. Mama oyeeee!" Enyi wagagagigikoko ni nani aliyewaroga?

MAONI YANGU
Naomba Elnino ya Oktoba iwapige wananchi hadi iwachakaze ili wapate fundisho na watambue kuwa serikali imewatelekeza. Wakati mwingine kusikia kwa kenge, hadi damu zimtoke masikioni. Hivyo hivyo, kusikia na kuelewa kwa wananchi, ni mpaka wapigwe na majanga mabaya kama haya ili wapate fundisho mujarabu.

Nawasilisha.
​
Imetengwa bilioni mia saba
 
You're not well informed about this issue nyumbu!
 
Back
Top Bottom